Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndoto za mchana hizi,wanaongea kujenga wakati hata regulations & policy za nuclear power hatuna kitabuni,to commission nuclear power plant sio chini ya dolar billion moja...zitoke wapi?
dola bilion moja ni sawa na trilion moja na nusu shillings, unafikiri hatuwezi kuzipata hizo kwa namna yoyote ile...kwani hao warusi na watu wengine wanaotaka kujenga refinery hapo mkuranga ya karibia six billion hela imetoka wapi,....iyo siyo hela nyingi sana kwamba tutashindwa kama tukidhamiria.
Fundi Mchundo:
Nakushangaa sana unaposema pwani watumie hiki, vijijini watumie kile. Je ni nani atakusaidia katika mambo hayo? Je ni kila siku tununue hivyo vitu bila ya kuwa na wataalamu wenye kuelewa hivyo vitu?
Ukikubaliana na mimi kuwa tunahitaji watu wa kuelewa siri ya teknologia hizi, basi NYUKI hatakuwa mbali sana nasi.
Katika hoja yako moja umezungumza masuala ya computer nilipoeleza mambo ya DVD. Samahani ukunielewa. DVD ina kama sehemu mbili muhimu, sehemu ya kwanza ni ya mathematics (Data compression) na sehemu ya pili ni media (laser disk) ambayo inaweza kustore data. Sehemu ya kwanza ya mathematics ilishagunduliwa zamani lakini ilisubiri laser technology. Hivyo sikuzungumzia masuala ya computer repair kwani ayefaidika zaidi kwenye biashara ya computer ni mwenye intellectual property, kutengeneza chip au mwenye ku-develop software.
Kama vile mathematics part ya DVD ilisubiri kwa muda mrefu maendeleo katika masuala ya laser technology, amini usiamni watu wanalifanyia kazi usiku na mchana usalama wa NYUKI.
I wish it were so.Good News and We have to be the Masters of our wealth
Interesting!There are currently 20 users browsing this thread. (2 members and 18 guests)
im against thoz projects n i think we shuld nt support them at ol...tc nt dat cpendi maendeleo ya tz but tujiulize je,tutanufaika na hiyo uranium au ndo itakuwa kama madini mengine?je,ni nini athari ya kuchimba hayo madini?hiv hatufikirii dat wakishachimba cc ndo we're going to suffer athari zake?are we the real big thinkers au ni maneno tu?i once lived in namtumbo n it really hurts me wen i get the pic of it after huo uchimbaji,tc really gonna affect generations n generations....tutajutia badae coz da profit myt b smol compare to da expenses za kuwaokoa wananamtumbo
Our leaders make humongous mistakes and malpractices, either knowingly or unknowingly and they get away it. What baffles me is that, theyget away with it ALL the time!!! We have many issues in the mining sector that need reassessing. Unfortunately the re-assessment are either NOT done or done partially without addressing the real problems. In the end, we have a copy of the first policy given a new name and new start date.
It is wrong to sign new contracts now, if stakeholders (especially the local residents of the mine locations) know little or nothing about the CSRs of the mining companies. They don't know what the EAs and IAs say (if at all written). If these resources do not benefit the local people, they hardly benefit the nation!!! This explains why we experience contentions where we have mining activities going on.
It is just a shame we have these rare resources and we give them away cheaply like this. OOhh my foot!!
Nuclear waste disposal yake ipo very complicated,tutaua vizazi vijavyo....Germany wana get rid ya non renwables in like 40yrs.Posti yangu nilijibu hoja ya kwamba South Africa wa-decomission. Ukweli walichofanya ni ku-decomission Nuclear Weapon program lakini Nuclear Reactors wanazo. Kinachozungumziwa hapa ni matumizi ya Nuclear katika masuala ya umeme.
Ndio plant zinaweza kuwa de-comissioned lakini za Plant ya South Africa yenye mitambo hiyo bado inafanya kazi. Nenda kwenye web site ya ESKOM.
Na katika posti yangu nimesema uwezekano upo tena mkubwa lakini inabidi tubadili MIND-SET.
Hata makaa ya teknologia ya makaa ya mawe, solar, gass hatuwezi kuitumia kama tunakuwa na MIND-SET tuliyokuwa nayo sasa. Hata kama tutaiba technologia, ni lazima mwizi huyo hawe amesoma.
Gas na Makaa ya mawe haifanyi nchi isiwe na Nuclear reactor. Nigeria mwaka huu imeanza kufanya research za kutumia nguvu hizo.
Kwanini Tanzania iogope situation iliyopo Congo/Rwanda/Uganda? Kwa taarifa nilizonazo Congo (Zaire) wanacho Kinu cha Nuclear na ni cha kwanza barani Afrika ingawaje kwa sasa kiko domant.
Suala la watanzania wenye CV za Nuclear na teknologia nyingine halina mpango kama waliopo madarakani hawakuitaji au hawana sera zenye kuitaji mchango wako. Waliopo madarakani ndio wenye fedha. Na hata de-comissioning ya Nuclear Tech. iwe ya silaha au Enegy zimefanyika kwa sababu waliopo madarakani (wanasiasa) walihamua hivyo.