Uranium Mining Projects In Tanzania: Progress...

Uranium Mining Projects In Tanzania: Progress...

ndoto za mchana hizi,wanaongea kujenga wakati hata regulations & policy za nuclear power hatuna kitabuni,to commission nuclear power plant sio chini ya dolar billion moja...zitoke wapi?
 
ndoto za mchana hizi,wanaongea kujenga wakati hata regulations & policy za nuclear power hatuna kitabuni,to commission nuclear power plant sio chini ya dolar billion moja...zitoke wapi?

dola bilion moja ni sawa na trilion moja na nusu shillings, unafikiri hatuwezi kuzipata hizo kwa namna yoyote ile...kwani hao warusi na watu wengine wanaotaka kujenga refinery hapo mkuranga ya karibia six billion hela imetoka wapi,....iyo siyo hela nyingi sana kwamba tutashindwa kama tukidhamiria.
 
....gas turbine tuu ni issue na ni only 10% of the cost,na gas ipo kibao ya kuwasha umeme nchi nzima,hujiulizi kwa nini kila siku ni migawo tuu?na usifikiri nuclear power plant ni kujenga na kuwasha tuu,ina kuja na costly operations kubwa sana kuanzia security mpaka nuclear waste disposal,sioni any financier wa kuipa TZ mkopo wa kujenga hiyo nuclear power plant,hata pesa ikiwepo sioni nchi yeyote inayoweza kuthubutu kuipa TZ hiyo technology,hizi power plant usifikiri ukiwa na pesa tuu unaita GE or any company wakujengee,contract kama hizi ni za high security clearance na zinategemea sana politics kuliko $$$,good bet ya project kama hizi kufanikiwa TZ ni kuwa na scientist wako mwenyewe ambao watajenga from the scratch...ukweli sioni project kama hii kwa nchi kama TZ ikifanikiwa,bwana wakubwa hawataruhusu hii kitu kabisa!
 
Uranium is good for nuclear energy. Somalia supposedly has plenty of it.
 
Tanzania ina physcists wa kiwango gani , world class au ! basi ili mradi tu , umeshaona hata paper moja kwenye journal ya kimataifa kuhusu masuala ya nuclear iliyondikwa na mtanzania ? .

hatufanyi hata basic research kwenye masuala hayo unafikiri knowledge itatoka wapi ?

Ninapo ongelea world class physicists nina maana kana , Dirac , Einstein, Max Born , stephen hawking , chandrashekar na wengine.

Hata ukiangalia hawa wataalamu wetu wamepata Phd zao wapi ? ,ni vyuo fulani second rate , siyo cambridge ,oxford ,Gronigen ,harvard au hata Uc berkley .

lazima mtambue mtaalamu mzuri anategemea sana professor wake alikuwa nani hilo ni muhimu sana nitakupa mfano .

Homi Jehangir Bhabha, FRS (October 30, 1909 – January 24, 1966) huyu ndio mtaalamu wa kwanza wa technolojia ya nuclear ya india na alikuwa mwanafunzi wa Dirac miaka ya 30's.

Dai Chuanzeng huyu alikuwa mwanafizikia aliyejifunza masuala ya nguvu za atomiki chini ya professor chadwick mvumbuzi wa neutron pale cambridge university , mchina huyu alivyorudi kwao akaenda kuanzisha utafiti wa masuala hayo mpaka china ikaja kuwa nuclear power.

kwa hiyo haya mambo yanakwenda kwa mipango mizuri ya muda mrefu ukiangalia kutoka wakati huo miaka ya thelathini mpaka china inapata kuwa na nguvu za atomiki ni zaidi ya miaka thelathini.

kwa hiyo ni kwa kiwango gani tunasomesha wataalamu wetu kwenye vyuo vizuri vyenye world renowned scientist na kwa kiwango gani tunawajali wataalamu hawa ili wasiingie kwenye siasa ili kufuata pesa za mizengwe ndio factor itatuwezesha kwenda mbele. na sio blabla.

nenda pale udsm utakuta hata hawa maprofesa tulionao hatuwajali wamekata tamaa na maisha. unafikiri ni nani atakuwa na uwezo kufanya utafiti wa kiwango cha juu kama ana matatizo binafsi .

Fundi Mchundo:

Nakushangaa sana unaposema pwani watumie hiki, vijijini watumie kile. Je ni nani atakusaidia katika mambo hayo? Je ni kila siku tununue hivyo vitu bila ya kuwa na wataalamu wenye kuelewa hivyo vitu?

Ukikubaliana na mimi kuwa tunahitaji watu wa kuelewa siri ya teknologia hizi, basi NYUKI hatakuwa mbali sana nasi.

Katika hoja yako moja umezungumza masuala ya computer nilipoeleza mambo ya DVD. Samahani ukunielewa. DVD ina kama sehemu mbili muhimu, sehemu ya kwanza ni ya mathematics (Data compression) na sehemu ya pili ni media (laser disk) ambayo inaweza kustore data. Sehemu ya kwanza ya mathematics ilishagunduliwa zamani lakini ilisubiri laser technology. Hivyo sikuzungumzia masuala ya computer repair kwani ayefaidika zaidi kwenye biashara ya computer ni mwenye intellectual property, kutengeneza chip au mwenye ku-develop software.

Kama vile mathematics part ya DVD ilisubiri kwa muda mrefu maendeleo katika masuala ya laser technology, amini usiamni watu wanalifanyia kazi usiku na mchana usalama wa NYUKI.
 
mbona katika habari zote za kiutafiti kuhusu hii uraniam na madini mengine sioni habari iliyoandikwa kwa kiswahili
 
Uranium exploration is being done in several region of Tanzania, including Namtumbo - Songea, Bahi - Dodoma, Singida.... and in most of this exploration project the reserve (Quantity of Uranium) found to be viable - can be mined at profit.

I am being told that Namtumbo project is about to commence, because almost every thing is in place. And Bahi Project is expected to commence in 2011/2012.

Why don't we start with one project, rather than starting Namtumbo (2011) and Bahi Project (2011/2012) at the same time. Which will give us direction on the rest of the profect if we wish to mine. I don't understand why did the Government buy this idea of commencing the production consecutively.

Lets cheer our views on this guys....
 
im against thoz projects n i think we shuld nt support them at ol...tc nt dat cpendi maendeleo ya tz but tujiulize je,tutanufaika na hiyo uranium au ndo itakuwa kama madini mengine?je,ni nini athari ya kuchimba hayo madini?hiv hatufikirii dat wakishachimba cc ndo we're going to suffer athari zake?are we the real big thinkers au ni maneno tu?i once lived in namtumbo n it really hurts me wen i get the pic of it after huo uchimbaji,tc really gonna affect generations n generations....tutajutia badae coz da profit myt b smol compare to da expenses za kuwaokoa wananamtumbo
 
Unasema kutakuwa na EXPENSES za kuwaokoa wana namtumbo?, kuwaokoa dhidi ya nini?, kwani hapa kinajengwa kiwanda cha kusindika uranium?. Do you have any technical explanation to support ua argument?. To my understanding this project might have ordinally envoronmental effect as long as there will be no onsite processing(no chemical processes) of the staff onsite. So no harzadous health threat to wananchi. Non theless sioni why should this post be places on the "jamii inteligence" forum.
 
It's another theft!!, why?
1. Bado sheria ya madini haijarekebishwa na mapendekezo ya tume ya bomani hayajafanyiwa kazi hata kidogo (achilia mbali taarifa yenyewe ya tume haikuwekwa wazi)
2. Kuna mkono wa ikulu ya marekani. Namtumbo ndio sababu ya ziara ndefu ya siku 4 ya Bush hapa tanzania na alifika songea pia (wala sio kugawa vyandarua)
3. Kuna maslahi ya viongozi wa tanzania!, kwa mfano kampuni ya ulinzi, usafi na kazi ya ku-supply mavazi ya kazi kwa kampuni za kimarekani zinazofanya utafiti huko namtumbo ni vya ndugu Basil P Mramba!
4. Uranium kuitafiti ni rahisi kuliko madini yoyote yale, yaani hata blutooth ya simu inayanasa lakini mpaka sasa eti wanaendelea na utafiti kumbe wanaendelea na uchimbaji, wizi mtupu
5. Kama mtakumbuka, kampuni iliyotafiti mwanzoni iliuzwa kwa kampuni nyingine kwa mabilioni ya dola, serikali bila kuhusishwa!, mauziano yanafanyika ulaya sisi tumelala tuuuu!
6. Yote yanayoendelea wakuu wa nchi wameridhia kama walivyoridhia kwenye dhahabu, almasi, makaa ya mawe na gesi na pia kama wanavyoendelea kuridhia katika buga za serengeti na ngorongoro!

Naomba nikiri kwamba sijafanya utafiti rasmi wa mambo haya, kosoa iwezekanavyo!
 
Its seems to be very new news on the commencement of the project as I can see no one is aware of the projectt. Ofcoz we all know the amount of uranium in our country.

Well, if the mining process has to commence the they should start with one project as prototype so as to study the magnitude & yield.
 
Our leaders make humongous mistakes and malpractices, either knowingly or unknowingly and they get away it. What baffles me is that, theyget away with it ALL the time!!! We have many issues in the mining sector that need reassessing. Unfortunately the re-assessment are either NOT done or done partially without addressing the real problems. In the end, we have a copy of the first policy given a new name and new start date.

It is wrong to sign new contracts now, if stakeholders (especially the local residents of the mine locations) know little or nothing about the CSRs of the mining companies. They don't know what the EAs and IAs say (if at all written). If these resources do not benefit the local people, they hardly benefit the nation!!! This explains why we experience contentions where we have mining activities going on.

It is just a shame we have these rare resources and we give them away cheaply like this. OOhh my foot!!
 
Tatizo lenu hamtaki viongozi wawaongoze, mnataka muwaongoze ninyi. You always come up with so many theories of your own.
 
Posti yangu nilijibu hoja ya kwamba South Africa wa-decomission. Ukweli walichofanya ni ku-decomission Nuclear Weapon program lakini Nuclear Reactors wanazo. Kinachozungumziwa hapa ni matumizi ya Nuclear katika masuala ya umeme.

Ndio plant zinaweza kuwa de-comissioned lakini za Plant ya South Africa yenye mitambo hiyo bado inafanya kazi. Nenda kwenye web site ya ESKOM.

Na katika posti yangu nimesema uwezekano upo tena mkubwa lakini inabidi tubadili MIND-SET.

Hata makaa ya teknologia ya makaa ya mawe, solar, gass hatuwezi kuitumia kama tunakuwa na MIND-SET tuliyokuwa nayo sasa. Hata kama tutaiba technologia, ni lazima mwizi huyo hawe amesoma.

Gas na Makaa ya mawe haifanyi nchi isiwe na Nuclear reactor. Nigeria mwaka huu imeanza kufanya research za kutumia nguvu hizo.

Kwanini Tanzania iogope situation iliyopo Congo/Rwanda/Uganda? Kwa taarifa nilizonazo Congo (Zaire) wanacho Kinu cha Nuclear na ni cha kwanza barani Afrika ingawaje kwa sasa kiko domant.

Suala la watanzania wenye CV za Nuclear na teknologia nyingine halina mpango kama waliopo madarakani hawakuitaji au hawana sera zenye kuitaji mchango wako. Waliopo madarakani ndio wenye fedha. Na hata de-comissioning ya Nuclear Tech. iwe ya silaha au Enegy zimefanyika kwa sababu waliopo madarakani (wanasiasa) walihamua hivyo.
Nuclear waste disposal yake ipo very complicated,tutaua vizazi vijavyo....Germany wana get rid ya non renwables in like 40yrs.
 
Back
Top Bottom