Urban and rural water supply: Kenya vs Tanzania

Hizo show tu, mimi nimekuja bongo juzijuzi nimekaa wiki moja, maji yamekatika siku nne kati ya saba, meaning zaidi ya 50% hua hamna maji. Hizo picha zote hazisaidii kitu kama hakuna constant supply ya maji hata sehemu ambazo tayari wamefunga mabomba. Tanzania kila kitu ni disappointment tu
 
Tweet ya Serikali yenyewe??[emoji23][emoji23][emoji23] Ni Kama wewe ujitangaze kuwa Ni mtu mkarimu, mzuri na mcha Mungu... blowing your own horn, having your cake and eat it.
Hii Ni ile Serikali imekuwa ikiwadanganya inakuwa kwa 7.2% badala ya 4.1%?
Hii Ni ile Serikali iliwaadanganya wakulima wa Korosho watalipwa hela zao?
Hii Ni ile Serikali iliwaadanganya kuwa itajenga Bandari ya Bwagamoyo?
Geza ulole usifanye nianzishe huu uzi kule jukwaa la siasa na kusumbua ukweli [emoji23][emoji23][emoji23] infact I am doing so right now.
Weka tweet ya GoK tuone, au source yoyote unayoijua kuhusu MAJI Kenya
 
Hizo show tu, mimi nimekuja bongo juzijuzi nimekaa wiki moja, maji yamekatika siku nne kati ya saba, meaning zaidi ya 50% hua hamna maji. Hizo picha zote hazisaidii kitu kama hakuna constant supply ya maji hata sehemu ambazo tayari wamefunga mabomba. Tanzania kila kitu ni disappointment tu
Hahahaha, dalili ya upungufu wa Maji ni kipindupindu. Nairobi kila baada ya miezi sita kunazuka kipindupindu.
 
Weka tweet ya GoK tuone, au source yoyote unayoijua kuhusu MAJI Kenya
Like I said before usijisifu ngoja usifiwe. I think that's the reason why most Governments do not tweet about how successful they are but rather wait for other independent institutions or individuals to do so unless the Govt has some sinister agenda or something to hide.
 
Tweet ya Serikali yenyewe??😂😂😂 Ni Kama wewe ujitangaze kuwa Ni mtu mkarimu, mzuri na mcha Mungu... blowing your own horn, having your cake and eat it.
Hii Ni ile Serikali imekuwa ikiwadanganya inakuwa kwa 7.2% badala ya 4.1%?
Hii Ni ile Serikali iliwaadanganya wakulima wa Korosho watalipwa hela zao?
Hii Ni ile Serikali iliwaadanganya kuwa itajenga Bandari ya Bwagamoyo?
Geza ulole usifanye nianzishe huu uzi kule jukwaa la siasa na kusumbua ukweli 😂😂😂 infact I am doing so right now.

LOL kama maeneo ya matajiri yanapata maji kwa masaa 6 kwa week huko kwa walalahoi wana hali gani?

Na vyoo wanatumiaje? Hilo ni janga kubwa kwa Kenya nzima sababu Nairobi ndio kila kitu Kenya
 
Zisema hivi 😂😂😂
Kweli umeishiwa,
Yaani unaleta thread ya 2013 wakati huo Atcl haikuwa hata na ndege 😂😂😂
Najua hukuisoma zaidi ya kukurupuka kucopy link.
 
Hivi Sasa hata haitoki nje imekufa hata kabla ianze haifiki Nchini South Africa kwa kumuogopa Mkulima. Mumbai mnaenda bado? Chato je? Minofu ya nyama je?😂😂 2013 na 2019 hamna tofauti yeyote.
 
Huyo aliye tweet anaishi karen wapi,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]media bana
LOL kama maeneo ya matajiri yanapata maji kwa masaa 6 kwa week huko kwa walalahoi wana hali gani?

Na vyoo wanatumiaje? Hilo ni janga kubwa kwa Kenya nzima sababu Nairobi ndio kila kitu Kenya
 
LOL kama maeneo ya matajiri yanapata maji kwa masaa 6 kwa week huko kwa walalahoi wana hali gani?

Na vyoo wanatumiaje? Hilo ni janga kubwa kwa Kenya nzima sababu Nairobi ndio kila kitu Kenya
I'm from Laikipia County na maji hapa ni 24/7. Maji hukatwa tu pale tanks zinafanyiwa usafi na kabla ya hilo utapewa ilani.
 
Hivi Sasa hata haitoki nje imekufa hata kabla ianze haifiki Nchini South Africa kwa kumuogopa Mkulima. Mumbai mnaenda bado? Chato je? Minofu ya nyama je?😂😂 2013 na 2019 hamna tofauti yeyote.
Akili fupi mnoo,
Ulikurupuka kuokota picha ukidhani kila mtu ni mjinga kama wewe,
Endeleeni kurudi utumwani.
 
Kibaya zaidi katika uandishi wake kajifanya kuwa yeye ndio kapiga hiyo pic
Aliyakuwa wote tunajua humu kuwa yeye ni tozi hapo kibera
Kweli umeishiwa,
Yaani unaleta thread ya 2013 wakati huo Atcl haikuwa hata na ndege [emoji23][emoji23][emoji23]
Najua hukuisoma zaidi ya kukurupuka kucopy link.
 
Hao ndugu zetu wana maisha magumu saana mfano kuna manzi mmoja wa kikenya alitoroka chuo akanifata bongo ili tu atimize ndoto yake ya kuishi tz
Hahhah Hakuna namna ni kuwashughulikia tu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom