Urban and rural water supply: Kenya vs Tanzania

Tanzania imefanikiwa kutoa maji Victoria mpaka Tabora kilometres zaidi ya 500 pamoja na hundreds of peripheral channels on its way to the destination Tabora lakini kuna mji wa Nairobi 50% hawana tap water wala uhakika wa maji
 
jamaa wameondoa thread yetu ya Dodoma lazma Mungiki kalalamika!
 
😑 Doooooh! Kwa nini wamefanya hivyo?
Aisee nipo disappointed sana na Moderator kwa kuondoa thread yetu ya Dodoma

Lakini mbona wakenya wa naleta threads negative kuhusu Tanzania huku kibao lakini hawaziondoi?

Ni ukweli Dodoma ipo hot sana na ni tishio kwa Nairobi ndio maana kimewauma ila sio case, hizi harakati ndio kwaanza zimeanza tutaleta threads za kufa mtu kuhusu Dodoma kwa kasi ya tsunamis
 
Wizara ya pili anaibadilisha! Huyu, Ummy na Jafo wako vizuri! Hata Dr. Mipango japokuwa wizara ya Fedha kazi haionekani physically!
Kigangwala naye yuko vizuri, nilikuwa namchukulia poa sana hapa JF kipindi cha JK lakini alipoichukua maliasili amekuwa akiitendea vyema sana nchi yetu. Uwezo wake unaonekana sasa kuliko alivyokuwa naibu waziri wa afya, tofauti na Bashe ambaye uwezo wake unaonekana akiwa naibu.
 
Ila wizara za kilimo na ile ya Mifugo na uvuvi zina safari ndefu sana haswa kwenye ku-commercialize our farm produce. Inabidi wapambane kwelikweli!
 
Back
Top Bottom