Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #21
Weka tweet ya GoK tuone, au source yoyote unayoijua kuhusu MAJI KenyaTweet ya Serikali yenyewe??[emoji23][emoji23][emoji23] Ni Kama wewe ujitangaze kuwa Ni mtu mkarimu, mzuri na mcha Mungu... blowing your own horn, having your cake and eat it.
Hii Ni ile Serikali imekuwa ikiwadanganya inakuwa kwa 7.2% badala ya 4.1%?
Hii Ni ile Serikali iliwaadanganya wakulima wa Korosho watalipwa hela zao?
Hii Ni ile Serikali iliwaadanganya kuwa itajenga Bandari ya Bwagamoyo?
Geza ulole usifanye nianzishe huu uzi kule jukwaa la siasa na kusumbua ukweli [emoji23][emoji23][emoji23] infact I am doing so right now.
Hahahaha, dalili ya upungufu wa Maji ni kipindupindu. Nairobi kila baada ya miezi sita kunazuka kipindupindu.Hizo show tu, mimi nimekuja bongo juzijuzi nimekaa wiki moja, maji yamekatika siku nne kati ya saba, meaning zaidi ya 50% hua hamna maji. Hizo picha zote hazisaidii kitu kama hakuna constant supply ya maji hata sehemu ambazo tayari wamefunga mabomba. Tanzania kila kitu ni disappointment tu
Like I said before usijisifu ngoja usifiwe. I think that's the reason why most Governments do not tweet about how successful they are but rather wait for other independent institutions or individuals to do so unless the Govt has some sinister agenda or something to hide.Weka tweet ya GoK tuone, au source yoyote unayoijua kuhusu MAJI Kenya
Tweet ya Serikali yenyewe??πππ Ni Kama wewe ujitangaze kuwa Ni mtu mkarimu, mzuri na mcha Mungu... blowing your own horn, having your cake and eat it.
Hii Ni ile Serikali imekuwa ikiwadanganya inakuwa kwa 7.2% badala ya 4.1%?
Hii Ni ile Serikali iliwaadanganya wakulima wa Korosho watalipwa hela zao?
Hii Ni ile Serikali iliwaadanganya kuwa itajenga Bandari ya Bwagamoyo?
Geza ulole usifanye nianzishe huu uzi kule jukwaa la siasa na kusumbua ukweli πππ infact I am doing so right now.
Exactly now bring such independent reports from your media houses.
LOL kama maeneo ya matajiri yanapata maji kwa masaa 6 kwa week huko kwa walalahoi wana hali gani?
Kweli umeishiwa,Zisema hivi πππ
Kwanini ATCL wahudumu wa Ndege ni wazungu, Wachina na Wakorea?
nimebahatisha juzi kwa mara ya kwanza kupanda ndege za ATCL mhhhh maajabu nliyoyaona; 1. wahudumu ni wachina, korea na wazungu 2. wahudumu wa kiume wana Vitambi hii sio ishu 3. Huduma unapewa moja mfano chakula aina moja huna option, no wine no nini hahah 4. Hakuna hata vijarida vya kusoma...www.jamiiforums.com
Hivi Sasa hata haitoki nje imekufa hata kabla ianze haifiki Nchini South Africa kwa kumuogopa Mkulima. Mumbai mnaenda bado? Chato je? Minofu ya nyama je?ππ 2013 na 2019 hamna tofauti yeyote.Kweli umeishiwa,
Yaani unaleta thread ya 2013 wakati huo Atcl haikuwa hata na ndege πππ
Najua hukuisoma zaidi ya kukurupuka kucopy link.
LOL kama maeneo ya matajiri yanapata maji kwa masaa 6 kwa week huko kwa walalahoi wana hali gani?
Na vyoo wanatumiaje? Hilo ni janga kubwa kwa Kenya nzima sababu Nairobi ndio kila kitu Kenya
I'm from Laikipia County na maji hapa ni 24/7. Maji hukatwa tu pale tanks zinafanyiwa usafi na kabla ya hilo utapewa ilani.LOL kama maeneo ya matajiri yanapata maji kwa masaa 6 kwa week huko kwa walalahoi wana hali gani?
Na vyoo wanatumiaje? Hilo ni janga kubwa kwa Kenya nzima sababu Nairobi ndio kila kitu Kenya
Akili fupi mnoo,Hivi Sasa hata haitoki nje imekufa hata kabla ianze haifiki Nchini South Africa kwa kumuogopa Mkulima. Mumbai mnaenda bado? Chato je? Minofu ya nyama je?ππ 2013 na 2019 hamna tofauti yeyote.
You are luckyI'm from Laikipia County na maji hapa ni 24/7. Maji hukatwa tu pale tanks zinafanyiwa usafi na kabla ya hilo utapewa ilani.
Sijui kuhusu jiji kuu lakini humu mashinani maji sio kero.You are lucky
Kweli umeishiwa,
Yaani unaleta thread ya 2013 wakati huo Atcl haikuwa hata na ndege [emoji23][emoji23][emoji23]
Najua hukuisoma zaidi ya kukurupuka kucopy link.
Hahhah Hakuna namna ni kuwashughulikia tu πππHao ndugu zetu wana maisha magumu saana mfano kuna manzi mmoja wa kikenya alitoroka chuo akanifata bongo ili tu atimize ndoto yake ya kuishi tz