Urefu wa kamba yako ni mshahara wako na stahiki nyingine kisheria. Msimlishe maneno Rais Samia

Rais ajitahidi kuchunga kauli zake na apunguze kutolea ufafanuzi mrefu katika kila jambo.
 
Sitii neno
 
Rais ajitahidi kuchunga kauli zake na apunguze kutolea ufafanuzi mrefu katika kila jambo.
Nilisikia mtu fulani anasema hapa kwamba kasi ya vibrations za ulimi na midomo ya Bi Mikopo ni inversely proportional to the square of RAM & processing capacity ya her cerebrum.
 
Anafahamu kuna kijikampumi kinalipwa 2m usd halafu amekaa tu pale kama sanamu badala ya kuchukua hatua hii ni aibu kwa amri jeshi mkuu wetu anaona 2m usd sio ndogo ni kodi zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndio maana wizara ya ardhi kapewa Rz1. Hawa ndio ma kingmarker wenyewe sasa
 
Unaandika ukionyesha kuwa ama huna akili, au unadhani wanaokusoma ni wapumbavu. Unajaribu "kutetea na kunyoosha" jambo ambalo liko wazi kwa hata mtoto mdogo. Kwani nini kiongozi mmoja agombane na kiongozi mwingine kuhusiana na mishahara yao ambayo imepangwa na hawawezi kuibadilisha? Wanachogombana ni kuhusu yupi achukue dili hili au lile. Madili kwa viongozi na watumishi wa serikali ni ruksa sasa mradi tu "wasivimbiwe."

Tafadhali Behaviourist tuletee commercial break kidogo watu wapumzike!
 
Mleta mada kuna vitu vimeingia kwenye medulla oblongata si bure. Hivi mfano wa pesa za barabara wanazogawana hao walanguzi wa kijani ni pesa za ukoo wenu ? Nimeichukia kijani kutoka rohoni mwangu maana sipendi embezzlement ya public funds .jamani CCM mkiyataka maendeleo ya watu leave alone public funds zifanyekazi .mikopo na tozo hazitupeleki popote
 
Kwa hiyo kakutuma uje unyooshe maneno yake, au umejivika uchawa tu?
 
jipimieni... mshahara na stahiki zingine hujipimii bali unapimiwa kulingana na sheria zilizowekwa... sasa Raisi anahamasisha nini ?? usituone wote wajinga kama ujinga wako
Nashangaa sana, Yani amekuja ku justify ujinga, haihitaji akili kubwa kujua kilichosemwa na Rais, upo sahihi 100%
 
Hata mtutafsirie kauli zake haisaidii. Huyu hawezi pale. Mkubali tu. Haendeshi nchi. Madereva wako wengi.
Mkijielewa na kutambuwa hili mapema itakuwa faraja kwenu. Ila mkiamini anafaa subirini muone matokeo yake…
 
jipimieni... mshahara na stahiki zingine hujipimii bali unapimiwa kulingana na sheria zilizowekwa... sasa Raisi anahamasisha nini ?? usituone wote wajinga kama ujinga wako
Alimaanisha vitu kama safari ambazo huwa zinaleta posho. Pia alitia mfano wa mawaziri, manaibu waziri na makatibu wakuu kugombania safari. Na anavyosema ni sawa. Kwa mfano, chukulia waziri ambaye kila mikutano au shughuli yeyote ya nje anataka kwenda yeye, iwe Marekani, Ufaransa n.k. unafikiri naibu wake atafurahi? Alichomaanisha ni kwamba kwenye vitu hivyo wanaweza kukaa chini na kujigawia kistaarabu.
 
Maana ni ile ile ya siku zote. "Jichotee kwa kadri ya njaa na kiu yako lakini usivimbiwe"

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…