Urefu wa Mama Mjamzito

Sijui wakunga wa jadi waliyajuaje haya kaba ya ujio wa wazungu maana walifanya ukunga kikamilifu kabisa
Mkuu walifanya lakini kulikuwepo na vifo vingi kulinganisha na sasa. Najua mababu zetu walikuwa na njia nyingi za kupambana na magonjwa lakini vifo vilikuwa vingi.
 
Leo nimesoma kadi ya kliniki. Ambayo mama yangu, alitumia kipindi Mimi sijazaliwa kuna sehemu imeandikwa Urefu wa mama yangu.

Naomba kufahamishwa Urefu wa mama mjamzito unafaida au athari gani kwa mama mjamzito na Mtoto aliyeko tumboni
Siyo mtaalamu wa afya lkn urefu wa mwanamke mjamzito una uhusiano wa karibu sana na kujifungua kawaida au kuongezewa njia ya kujifungulia endapo pia hakutakuwa na sababu zingine.

Wenye majibu sahihi njooni.
 
Safi kabisa.
 
Ndio maana naipenda JF unapata maarifa mengi namna hii. Kongole kwako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana inashauriwa mwanamke mfupi amtafute mfupi mwenzake kuepuka mambo kama haya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa kifupi,

Mwanamke akiwa chini ya 150cm anakuwa na kiuno chembamba, meaning kuna uwezekano wa kupata shida wakati wa kuzaa,

So wauguzi wakiona tu kimo cha mama mjamzito wanajua maandalizi ya kufanya wakati wa kujifungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…