Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu walifanya lakini kulikuwepo na vifo vingi kulinganisha na sasa. Najua mababu zetu walikuwa na njia nyingi za kupambana na magonjwa lakini vifo vilikuwa vingi.Sijui wakunga wa jadi waliyajuaje haya kaba ya ujio wa wazungu maana walifanya ukunga kikamilifu kabisa
Siyo mtaalamu wa afya lkn urefu wa mwanamke mjamzito una uhusiano wa karibu sana na kujifungua kawaida au kuongezewa njia ya kujifungulia endapo pia hakutakuwa na sababu zingine.Leo nimesoma kadi ya kliniki. Ambayo mama yangu, alitumia kipindi Mimi sijazaliwa kuna sehemu imeandikwa Urefu wa mama yangu.
Naomba kufahamishwa Urefu wa mama mjamzito unafaida au athari gani kwa mama mjamzito na Mtoto aliyeko tumboni
Safi kabisa.Wengi wamejibu Vizuri na wamepatia Kabisa But Honestly Kwanini Unafikiri Kimewekwa Kiwango kabisa?
Kwanini Wamesema Indication iwe 150 Cm ?
Yaani alert iwe kwenye Bellow 150cm?
Ukisoma Kadi utaona imeandikwa 150 and above na Bellow 150 Cm...
Does Bellow 150Cm affects BMI Status?
so do above 150Cm??
Jibu ni Hapana kuna Kitu kingine cha Ziada zaidi ya BMI..
Nacho ni Pelvic Sizes..
Urefu wa Mwanamke chini ya 150cm Unachangia kwa Asilimia kubwa sana mwanamke kuwa na Small pelvic size because shorter stature is often correlated with smaller skeletal dimensions..
Sijui kama hapo Nimeeleweka..?
Pelvic Size ikiwa Ndogo Kunatokea Kitu Kinaitwa CPD (Cephalo Pelvic Disproportional)..
Yaani Kwa lugha inayoeleweka ni kuwa Mtoto anakuwa Mkubwa kuliko Njia ya Uzazi ama Nyonga.. hiyo CPD ni tofauti kabisa na Big Baby (Macrosomia)..
Sasa kwanini Inawekwa kwenye Kadi??
Inawekwa kwenye Kadi kumpa Alert Mtoa huduma atakaye muhudumia Mjamzito kuwa Awe alert Na mgonjwa huyo (Kama ana below 150) kumuandaa kwa ajili ha Operation (C/S) na Kuwa na Possible ya CPD Dx..
So ili kuweza kutoa Maamuzi mapema kuepusha maternal Death..
Asante Nafikiri Nimeeleweka
Ndio maana naipenda JF unapata maarifa mengi namna hii. Kongole kwako mkuuWengi wamejibu Vizuri na wamepatia Kabisa But Honestly Kwanini Unafikiri Kimewekwa Kiwango kabisa?
Kwanini Wamesema Indication iwe 150 Cm ?
Yaani alert iwe kwenye Bellow 150cm?
Ukisoma Kadi utaona imeandikwa 150 and above na Bellow 150 Cm...
Does Bellow 150Cm affects BMI Status?
so do above 150Cm??
Jibu ni Hapana kuna Kitu kingine cha Ziada zaidi ya BMI..
Nacho ni Pelvic Sizes..
Urefu wa Mwanamke chini ya 150cm Unachangia kwa Asilimia kubwa sana mwanamke kuwa na Small pelvic size because shorter stature is often correlated with smaller skeletal dimensions..
Sijui kama hapo Nimeeleweka..?
Pelvic Size ikiwa Ndogo Kunatokea Kitu Kinaitwa CPD (Cephalo Pelvic Disproportional)..
Yaani Kwa lugha inayoeleweka ni kuwa Mtoto anakuwa Mkubwa kuliko Njia ya Uzazi ama Nyonga.. hiyo CPD ni tofauti kabisa na Big Baby (Macrosomia)..
Sasa kwanini Inawekwa kwenye Kadi??
Inawekwa kwenye Kadi kumpa Alert Mtoa huduma atakaye muhudumia Mjamzito kuwa Awe alert Na mgonjwa huyo (Kama ana below 150) kumuandaa kwa ajili ha Operation (C/S) na Kuwa na Possible ya CPD Dx..
So ili kuweza kutoa Maamuzi mapema kuepusha maternal Death..
Asante Nafikiri Nimeeleweka
Ndio maana inashauriwa mwanamke mfupi amtafute mfupi mwenzake kuepuka mambo kama haya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wengi wamejibu Vizuri na wamepatia Kabisa But Honestly Kwanini Unafikiri Kimewekwa Kiwango kabisa?
Kwanini Wamesema Indication iwe 150 Cm ?
Yaani alert iwe kwenye Bellow 150cm?
Ukisoma Kadi utaona imeandikwa 150 and above na Bellow 150 Cm...
Does Bellow 150Cm affects BMI Status?
so do above 150Cm??
Jibu ni Hapana kuna Kitu kingine cha Ziada zaidi ya BMI..
Nacho ni Pelvic Sizes..
Urefu wa Mwanamke chini ya 150cm Unachangia kwa Asilimia kubwa sana mwanamke kuwa na Small pelvic size because shorter stature is often correlated with smaller skeletal dimensions..
Sijui kama hapo Nimeeleweka..?
Pelvic Size ikiwa Ndogo Kunatokea Kitu Kinaitwa CPD (Cephalo Pelvic Disproportional)..
Yaani Kwa lugha inayoeleweka ni kuwa Mtoto anakuwa Mkubwa kuliko Njia ya Uzazi ama Nyonga.. hiyo CPD ni tofauti kabisa na Big Baby (Macrosomia)..
Sasa kwanini Inawekwa kwenye Kadi??
Inawekwa kwenye Kadi kumpa Alert Mtoa huduma atakaye muhudumia Mjamzito kuwa Awe alert Na mgonjwa huyo (Kama ana below 150) kumuandaa kwa ajili ha Operation (C/S) na Kuwa na Possible ya CPD Dx..
So ili kuweza kutoa Maamuzi mapema kuepusha maternal Death..
Asante Nafikiri Nimeeleweka
Ipo hivyoMadokta mnaitwa huku!
Ila pia nasikia mwanamke akiwa mfupi sana anaweza kujifungua kwa oparesheni naona kuna dokta hapo juu ameelezea vizuri sana
Cc Smart911
Usisahau kuni tagSoon ntaleta mrejesho kuna mambo yanaendelea nashindwa kudecide nahitaj ushauri
OkyUsisahau kuni tag