Urefu wa Mama Mjamzito

Urefu wa Mama Mjamzito

Sijui wakunga wa jadi waliyajuaje haya kaba ya ujio wa wazungu maana walifanya ukunga kikamilifu kabisa
Mkuu walifanya lakini kulikuwepo na vifo vingi kulinganisha na sasa. Najua mababu zetu walikuwa na njia nyingi za kupambana na magonjwa lakini vifo vilikuwa vingi.
 
Leo nimesoma kadi ya kliniki. Ambayo mama yangu, alitumia kipindi Mimi sijazaliwa kuna sehemu imeandikwa Urefu wa mama yangu.

Naomba kufahamishwa Urefu wa mama mjamzito unafaida au athari gani kwa mama mjamzito na Mtoto aliyeko tumboni
Siyo mtaalamu wa afya lkn urefu wa mwanamke mjamzito una uhusiano wa karibu sana na kujifungua kawaida au kuongezewa njia ya kujifungulia endapo pia hakutakuwa na sababu zingine.

Wenye majibu sahihi njooni.
 
Wengi wamejibu Vizuri na wamepatia Kabisa But Honestly Kwanini Unafikiri Kimewekwa Kiwango kabisa?

Kwanini Wamesema Indication iwe 150 Cm ?
Yaani alert iwe kwenye Bellow 150cm?

Ukisoma Kadi utaona imeandikwa 150 and above na Bellow 150 Cm...

Does Bellow 150Cm affects BMI Status?
so do above 150Cm??

Jibu ni Hapana kuna Kitu kingine cha Ziada zaidi ya BMI..

Nacho ni Pelvic Sizes..

Urefu wa Mwanamke chini ya 150cm Unachangia kwa Asilimia kubwa sana mwanamke kuwa na Small pelvic size because shorter stature is often correlated with smaller skeletal dimensions..

Sijui kama hapo Nimeeleweka..?

Pelvic Size ikiwa Ndogo Kunatokea Kitu Kinaitwa CPD (Cephalo Pelvic Disproportional)..

Yaani Kwa lugha inayoeleweka ni kuwa Mtoto anakuwa Mkubwa kuliko Njia ya Uzazi ama Nyonga.. hiyo CPD ni tofauti kabisa na Big Baby (Macrosomia)..

Sasa kwanini Inawekwa kwenye Kadi??

Inawekwa kwenye Kadi kumpa Alert Mtoa huduma atakaye muhudumia Mjamzito kuwa Awe alert Na mgonjwa huyo (Kama ana below 150) kumuandaa kwa ajili ha Operation (C/S) na Kuwa na Possible ya CPD Dx..

So ili kuweza kutoa Maamuzi mapema kuepusha maternal Death..

Asante Nafikiri Nimeeleweka
Safi kabisa.
 
Ndio maana naipenda JF unapata maarifa mengi namna hii. Kongole kwako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana inashauriwa mwanamke mfupi amtafute mfupi mwenzake kuepuka mambo kama haya 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa kifupi,

Mwanamke akiwa chini ya 150cm anakuwa na kiuno chembamba, meaning kuna uwezekano wa kupata shida wakati wa kuzaa,

So wauguzi wakiona tu kimo cha mama mjamzito wanajua maandalizi ya kufanya wakati wa kujifungua
 
Back
Top Bottom