Pengine mwenzangu wewe unaona hili ni sawa. Mimi naona hii ndo ishara ya kwanza tunaishi katika taifa la watu waongo na tumekubali kwamba uongo ni sawa tu.
Naomba niulize, hivi kuna ubaya gani ukajipendezesha kadri ya maumbile yako halisia badala ya kufanya hivi hapa? mods niruhusu niseme ukweli kwenye hili tatizo.
Mwenzenu nikimwona mwanamke mkweli wa maumbile yake na d.nda haraka zaidi kuliko hawa wanaolazimisha nywele za makabila mengine.
Tushauriane namna ya kumaliza tatizo: MODI, KAMA UPO USHAHIDI HAWA DADA ZANGU HIZI NYWELE NI ZA KWAO HALISIA KABISA, NAOMBA WAKUELEZENI HAPO JF TUONDOE HIZI PICHA. LAKINI KAMA HIZI NYWELE NI ZA KUWEKA GUNDI NAOMBA TUEENDELEE TU KUJADILI HILI TATIZO TUFIKE MUAFA. SINA HIYANA WALA WIVU WOWOTE. LOHO INANIUMA TU TUNADHALAU UTU WETU ALIOTUPATIA MUNGU WETU.
View attachment 245288
Mpaka inakera