Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, Kumradhi ktk hili, Hizi ni hulka za kike na Siku zote baadhi ya wanawake huamini kuwa wanamapungufu fulani, So wanakamilisha kwa Urembo na mapambo kadhaa !! kwa Mtazamo wangu hiyo ni haki yao wajipodoe, wapendeze kadri ya uwezo wao !!huyo nilimuuliza kama hii picha ndo ya kwake, jiiii kaingia mitini.....
sio hilo tu mkuu,mimi nashangaa kuna threads zangu za maana tu na za manufaa kwa umma nikiziandika tu kama zinamhusu baadhi ya watumishi serikalini au ccm haziwekwi watu wachangie.
Mkuu, Kumradhi ktk hili, Hizi ni hulka za kike na Siku zote baadhi ya wanawake huamini kuwa wanamapungufu fulani, So wanakamilisha kwa Urembo na mapambo kadhaa !! kwa Mtazamo wangu hiyo ni haki yao wajipodoe, wapendeze kadri ya uwezo wao !!
Sasa laajabu mbona Vidume siku hizi huvaaga hereni na mitepesho !! hapo mbona hukemeei ????!! mwaj waukweli mjukuum
Mmmh !!! jee ulishawahi ona mdhungu akivaa wigi la nywele za kibantu?!! Labda...ndo mana wazungu wanatudharau, wacha tu waturushie ndizi
yaani mi nna nywele ndefu saana natural but natan hata kuzinyoa. na umri huu cjawahi vaa wigi maishan mwangu huo ndo ushamba wangu nkisema hivyo hadi mashoga zangu hawaamin wanacheka sana
kinachokera ikatokea umeamua kumuudhi Mungu kwa kuvunja amri ya sita...ukavunja amri na mwenye urembo bandia stimu inakukatika kutokana harufu ya uchafu kutoka kichwani
Mmmh !!! jee ulishawahi ona mdhungu akivaa wigi la nywele za kibantu?!! Labda...
Pengine mwenzangu wewe unaona hili ni sawa. Mimi naona hii ndo ishara ya kwanza tunaishi katika taifa la watu waongo na tumekubali kwamba uongo ni sawa tu.
Naomba niulize, hivi kuna ubaya gani ukajipendezesha kadri ya maumbile yako halisia badala ya kufanya hivi hapa? mods niruhusu nisema ukweli kwenye hili tatizo.
Mwenzenu nikimwona mwanamke mkweli wa maumbile yake na d.nda haraka zaidi kuliko hawa wanaolazimisha nywele za makabila mengine.
Tushauriane namna ya kumaliza tatizo: MODI, KAMA UPO USHAHIDI HAWA DADA ZANGU HIZI NYWELE NI ZA KWAO HALISIA KABISA, NAOMBA WAKUELEZENI HAPO JF TUONDOE HIZI PICHA. LAKINI KAMA HIZI NYWELE NI ZA KUWEKA GUNDI NAOMBA TUEENDELEE TU KUJADILI HILI TATIZO TUFIKE MUAFA. SINA HIYANA WALA WIVU WOWOTE. LOHO INANIUMA TU TUNADHALAU UTU WETU ALIOTUPATIA MUNGU WETU.
View attachment 244740View attachment 245288
Mpaka inakera
Waone watu wanaohusika na matatizo ya kisaikolojia watakusaidia...usipuuzie

ahaa.. Kwa hiyo patakuwa na jambo hapo.... Hawa mod wana lao jambo eti?
Moderator naye ana nywele bandia ha ha ha.
Nimekuwa nikilichunguza sana hili swala na nimegundua wanawake wanavaa mawigi na kushonea nywele ni kwa sababu hawana nywele ndefu za asili na fahari ya mwanamke ni nywele.Wengi nywele zimeharibiwa na madawa na wengine vipilipili so tuwahurumie na kuwavumilia tu.
Ila raha sana kuchezea nywele za mwanamke hasa zikiwa natural.