Urembo bandia mimi unanikera

Urembo bandia mimi unanikera

unajua kuna watuwako hvi akiwa fake very beautiful lakni akiwa natural daaaaaaaaaaaaah hatari unaweza ukakmbia so wavae tu xema usafi muhimu
 
kaazi kweli wadau wenzangu. tunajikana na kuyakana wenyewe maumbile yetu ya asili, tunajidharau na kujilani wenyewe sababu tunajihisi tunakasoro za kimaumbile, aaaaarghhhh. kweli legacies za ukoloni hazikuishia kwenye nyanja za kiuchumi na kisiasa lakini hata kwenye tamaduni na mila zetu za kiafrika. ulisikia wapi mabo hayo? by the way moja ya legacies za ukoloni kwenye utamaduni kwanza ni kumfanya ajitukane na ajikane yeye mwenyewe na ahisi kwamba ilikuwa ni makosa yeye kuumbwa kwa sura na taswira aliyonayo, na mbili, hatimae psychologically asijiamini na atumie nguvu na mda wake almost wote kujikarabati ili aweze kulandana wale ambao anahisi walipendelewa (Westerners). hatimae ndio hapo adjustments, alterations additions to their natural bodies take place. Huo ndio ukweli wa mambo. Tuendelendelee kujadili hili janga wadau

hii nimeipenda... labda niongezee tu kwamba mengine haya yameletwa na NEO-COLONISIM inayosambazwa kwa njia ya TELEVISION na INTERNET.

Unajua hizi stori za kina Papushka, Mamushka, kina Romalio na kina Garsia kwenye hadithi za TV ni kwamba hawa wasichana wetu wenye akili ndogo wanabeba kila kitu kama kilivyo kwenye TV--- kama zilivyo pamoja na manywele na kutikisa vichwa kuondoa nywele usoni--- wanaenda kupesti kichwani. Unaambiwa kazi tunayo!
 
unajua kuna watuwako hvi akiwa fake very beautiful lakni akiwa natural daaaaaaaaaaaaah hatari unaweza ukakmbia so wavae tu xema usafi muhimu

nafasi ya ukweli na uongo inakuja wapi hapo sasa katika jamii. ndo maana mi huwa nasema tanzania imeiga wachina kwenye kila kitu. leo unanunua simu kutoka china imeanchiwa SamSung. Ukiicheki vizuri unakuta daaaa...umenunua SingSing. Yaani ni kazi kweli kweli. Sasa wewe nambie...idadi ya ndoa zinazovunjika imekaaje Tanzania? Nijibu tu hapo. Isije kuwa wakianza kuishi pamoja yule sasa anaondoa mawigi bwna anaona aiseee hapa nilinunua SingSing hapa; hakuna SamSung hapa. Inakuwa ni shiiiida...
 
hapo kwenye singsing nimecheka sana :teeth::smile-big: hapa Tz idadi ya ndoa kuvnjka ni kubwa na kufake yaweza kuwa moja ya sababu so wadada its beter to b natural maana n shidaaaaaaa
 
Back
Top Bottom