Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
- Thread starter
- #41
Hii hapana
mkuu, assume huyo ndo umezimika sana kwake! halafu hataki badilika hata nukta!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hapana
nimekumiss pia..huyo umebandika miguu yake hapa ni nani?
wanawake wanaongoza kwa urembo. tazama huyu View attachment 130268
na huyu naeView attachment 130269
Mbona miguuu ya kiume????? Mmmhhhhh
Saa ndo urembo gani huo??????halafu kwa ubahili wake kajibandika mwenyewe wakati hajui
ipo siku mtajibandikia mpanga mapanga nyie!!
urembo woote huo, mnataka tu mtuvutie sisi?
Huo si urembo bali takataka........urembo kuhifadhi nnyaaaaa
huu uchafu ..
huu uchafu ..
Huo si urembo bali takataka........urembo kuhifadhi nnyaaaaa
hahahaaa!!! you do it for men!!
btw, umeona zawadi yangu ya mwaka mpya?
Tukiacha hata kucha... miguu mingine sio ya kuvaa open shoes aisee...