urembo mwiingine naona ni kama uzombie tu!!

urembo mwiingine naona ni kama uzombie tu!!

mkuu unataka kutuambia kwamba hii ni miguu ya kuvaa 'rain boots' kila wakati?

avae haya...!

Rain-Boots-JX-091-.jpg

Angalau...
 
Aisee lipicha linatisha, ivi analalaje na style hii
 
sasa wewe umekunywaje bila kuchanganya na nanii wewe??.. halafu kwanini umeifungua mchana?

mnakoseaga masharti hivi hivi nyie....!!

Hiv huwa inatokaje ileeee me huwa sielewagi........au kwakuwa mbabe???????
 
ambianeni mnapokutana kwenye vibanda vya kupakia rangi!!

wa hivi sijui atatembea wapi!!

Excel embu fikiria unalala na mwanamke unalala kama upo vitani kwa sababu akijigusa tu unahisi kuchomwa na kucha loh
 
Sijui aliwaza nini? Standing out for the wrong reasons. Lol
 
Back
Top Bottom