Urembo ulionishinda mimi.....

Mimi mwanamke akiwa na urembo wowote ambao sio natural simtaki kabisa, mke wangu nikishampiga marufuku kuweka artificial ornaments, yaani kitandani atalala peke yake simkumbatii..

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Cha ajabu utakuta huko nje una bonge la dude limejikrimu, miguu myeusi kama limevaa socks 😀
Kichwani lina wigi mcharuko
 
Hizi je hutumii

Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
hatuna tofauti daaah [emoji23] nilijua nikogo peke yangu..lips nikipaka vitu nalamba daaah urembo kazi...zaidi ya saa n hereni cna tena cha kuongezea...vyote vilishanishinda
 

Inaonekana wewe utakua Og hongera kwa hilo
 
hatuna tofauti daaah [emoji23] nilijua nikogo peke yangu..lips nikipaka vitu nalamba daaah urembo kazi...zaidi ya saa n hereni cna tena cha kuongezea...vyote vilishanishinda
Hereni tu? We kiboko
 
Kuna binamu yangu huwa anachora wanja unatokea kwenye nyusi unakaribia kugusa sikio, mwenyewe anauita "hawara mshenzi" huwa nacheka mno
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] yaan nimecheka htr

Sent from my CHC-U01 using JamiiForums mobile app
 
\


ushamba kazi inayojitegemea kwakweli vinaumiza
 
Daaah 2 yenyewe eti unaenda kuoga nywele unaacha kabatini

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Cha ajabu utakuta huko nje una bonge la dude limejikrimu, miguu myeusi kama limevaa socks 😀
Kichwani lina wigi mcharuko
hamna kitu kama hicho, yaani mi nikuona upo naturally, yaani nywele zako za asili, kuchaza kike, macho ya asili yaani napenda nikupende jinsi ulivyo uwe msafi tu. Mwanmke ukiwa na uzuri wa asili mi huwa nakuwa hoi, sio siri.
 
Yani ulivyo kama mie heka heka siwez kabisaaa.

Paka mafuta ya nazi kichwani.

Mrs Van
 
Natamani nikuone mkuu, nipe hiyo nafasi basi!
 
Kilichokushinda kingine ni kunyoa nywele za kwenye kinena aka mavuzi

Sent from my Phantom6-Plus using JamiiForums mobile app
Hili jina la Kijiji chetu umelipata wapi?

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…