Urembo ulionishinda mimi.....

Urembo ulionishinda mimi.....

Huna gharama mama asilimia 75 upo natural

Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
 
Vipi kuvaa cheni kwenye mguu,we hupendi??Kwenye kucha hapo kama una kucha nzuri hakuna haja ila kama hazina muelekeo ningekushauri uwe unabandika tu maana kuna zinazobandikwa zikapendeza mpaka ukahisi muhusika kazaliwa nazo,kuacha kucha zako za asili halafu vikucha vyenyewe vifupi mbele vimebinuka hiyo haikubaliki kwa kweli...
...Sasa hiyo mikucha mirefu mnajisafishaje?

Sent from my CHC-U01 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani mkuu hapa nacheka tyuu lol yaani team artificial Leo tupite mbali wadada jf kila mtu og;afu nyie masponsor msiwe wanafiki vicheche wenu wengi ni fake [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]


sema wewe! mchepuko yuko radh atoe laki 7 anunue human hair ila leoooooooooo!pyee!
 
Yaani huna tofauti na mim yaan hayo mavitu siyawez mpaka najiona mshamba fulan hivi

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Kuna vingine sijawahi kujaribu, vingine nimejaribu vikanizidi uwezo....

1: kupaka wanja kwenye nyusi
Huu urembo ulinishinda tangu enzi za mwalimu, kila nikijaribu naona nakua Kama nyau hasa hasa wanja mweusi, basi nikijaribu kupaka nafuta naendelea na mambo mengine, mara chache nimejaribu wanja wa brown napaka kwa mbaaali naona unakuja kuja mdogo mdogo ntaweza.

2: kuvaa wig/kushonea weaving
Hapa nimeinua mikono, wig nilivaa mwaka flani wakati naanza kusokota dread siwezi kwenda kazini vile, nikanunua wig kwanza dukani tu naambiwa linauzwa elf 25 nikashtuka nlijua buku ten, nikanunua nikavaa mmh najiona nakua kama kanjibai, linawasha, lina joto nlipata shida, nywele zilivorefuka sijarudia tena huu urembo siuwezi kabisa.

3: kubandika kucha
Nilijaribu siku moja kutoa ushamba, naona shost angu kila siku anabandika anapendeza, akanipeleka namie nikabandika mmh siku hiyo hata kutandika kitanda nilishindwa, kuchomeka shuka kwenye godoro ikawa tabu, siku chache nikazoea, siku ya kuzibandua sasa yani zinang'olewa utadhani nimetekwa nlikua na kazi ya kupiga kelele kama kimbwa, sirudii tena sitarudia kabisa.

4: kubandika kope
Hii kujaribu tu siwezi make, nikiwaona kina mwajuma ndalandefu wanavokua huwa nacheka, kope zinasimama utadhani mtu kavaa kofia, yana wenyewe haya

5: kupaka cream/kujichubua
Hii kazi ya kujipa mateso hii, uso mweupe miguu myeusi, kuna siku nliwekewa maji ya cream bila kujua ushamba huu, nimeulizwa tu niweke maji nkajibu eeh weka nlijua labda glycerin, duh siku mbili tu nkaanza kuwa kama tumbili....

Wewe huwezi nini?

Nb: naombeni mniambie mafuta ya nywele natural, naona nywele zinakatika
We utakuwa mwanamke mrembo asilia.., na pengine in mmojawapo wa wahenga! Wa hivi wanahesabika siku hizi!!

Sent from my STUDIO SELFIE using JamiiForums mobile app
 
wanyakyusa bana sijui wana matatizo gani,wanawake ni wazuri tu ila hawaki kuwa natural....kujichubua sasa khaa!
afu wana sauti kali mno,hawajui kubembeleza kike eti..

hahahha ukienda mbeya wanawake weng ni wa PINK! yaan kwasabb ni weusi wanajichubua had wanakuwa pinky! hahaha hata iringa wamama wanaopasua mbao wako hvyo wanajiitaga mama mbao!

hahahaha unachosema mkuu ni kweli 100% nina shoga angu jaman ana sauti ngumuu! hahahah hajuag kubembeleza alwys yuko harshy! ila nampenda alivyo!
Mwemwemweee...

Cc Heaven Sent
 
hujasema urembo gan unautunuku dada [HASHTAG]#nalendwa[/HASHTAG]! share wid us
 
mhh tuseme wake zenyu hawavai wigs au mnangea tu hapa kujikosha! wig ni mhimu kwa mwanamke morden yyt yule ila inategemea na aina ya wigi! angalia km juzi mke wa mkulu yale manywele me hata nisingekubai kwenda chatlle! yeboyebo imefumuka imesimama balaa! kha! angefumua akatupia wig angependeza!
Wig muhimu sana na ujue kutengeneza nywele kulingana na hali ya hewa.. tatizo ma wig yetu ni yale ya nylon yaan kichwa hakipumui lazima utoe uvundo tu ukikutana na joto la dar..

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Wig muhimu sana na ujue kutengeneza nywele kulingana na hali ya hewa.. tatizo ma wig yetu ni yale ya nylon yaan kichwa hakipumui lazima utoe uvundo tu ukikutana na joto la dar..

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app


hiyo ya kusuka aina ya nywele ndo muhimu kweli kwel we oct au nov unashonea weavng au wig uwiii lazima utepetee! sure mkuu nakubali ulichosema
 
mimi pia nazipenda...

ipo siku ntaanzisha Daftari la wapiga kura kwenye Paja moja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu muhimu wote... siku nikipotea wanirudishe kwetu

Sent From my C5 wereva
hata me napenda tatto zisizoonekana
kwaajili yangu tu
 
Back
Top Bottom