MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Basi shoga angu, nimekusikia jamani aic[emoji125] [emoji125] [emoji125]
hahahahha!km wanaume zetu tunawafanyia scrub iweje ww mwanamke ushindwe kujijali kuhus ngozi yako!lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi shoga angu, nimekusikia jamani aic[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Basi kungwi, ntakuja pm kwa maelezo zaidi ya scrub +visosa[emoji85] [emoji85]hahahahha!km wanaume zetu tunawafanyia scrub iweje ww mwanamke ushindwe kujijali kuhus ngozi yako!lol
Vimini napenda mno, heels pia ila za size ya kati sio ndeefu nivae hadi magoti yatangulie mbele kama mbuziMimi kucha za kubandika nimeshindwa
kujichubua hapana na Mungu aendelee kuniepusha na hilo pepo
nyusi zangu sizinyoi ila wanja wa lulu lazima
weaving nimeshindwa
wigi navaa mara mojamoja kama nikiwa nimebanwa sana mpk nimeshindwa kusuka
high heels pia ni urembo ulionishinda
kuvaa nguo za juu ya magoti pia nimeshindwa
Ha ha ha ni shidaHumu leo kila mtu natural.... Haya bwana...
Hawara mshenzi inanivunjaga mbavu mieWanja mpaka sikioni! [emoji23]
Heaven Sent na espy naenda kuweka "hawara mshenz" halafu mniambie sijapendeza! [emoji38]
Unavonikeraga ukija pm nitaazima wig kwa ajili yako ili nikuchambe huku nimevaa wigShida sina pesa ila unafaa kuwa mke..! Naogopa utakuwa unachepuka tuu basi..! Ingawa badae lazima nijaribu natangulia pm utanikuta sawa..!
Tena hivi vya asili huwa naona bora zaidi cos ukichanganya mwenyewe at least unajua umeweka nini. Kitu kingine kiasilia ni yai, ukitoa yolk inayobaki ni mask nzuri sana.yeah braids alafu uwe na virgn cream yako mambo shwari tupu!kwakweli mwanamke uwe smart na msafi ,maana km kuna mwingn kasmea hata scrub yy hawez,kuna nscrub nzuru sana za asili km sukari na asal ukimix na mafuta ya nazii ukifanya kila wknd mwili mzima utajitaman!unatoa uchafu mwili wote ngoz inapumua!mavyakula tunayokula haya alafu ht scrub tu ushindwe kufanya labda uwe na ngoz yenye shukuran
hahahahha!km wanaume zetu tunawafanyia scrub iweje ww mwanamke ushindwe kujijali kuhus ngozi yako!lol
Basi kungwi, ntakuja pm kwa maelezo zaidi ya scrub +visosa[emoji85] [emoji85]
[emoji1] [emoji28]Vimini napenda mno, heels pia ila za size ya kati sio ndeefu nivae hadi magoti yatangulie mbele kama mbuzi
Tena hivi vya asili huwa naona bora zaidi cos ukichanganya mwenyewe at least unajua umeweka nini. Kitu kingine kiasilia ni yai, ukitoa yolk inayobaki ni mask nzuri sana.
Scrub mbona sio kazi sana?
Ni kujituma tu, halafu hata gharama ni ndogo.
Teh hujawahi kuona mtu kavaa heels afu hajui kuzitembelea ha ha ha ha magoti yanatangulia mbele kama mosheni flani hivi ya masanja mkandamizaji[emoji1] [emoji28]
Lakini wewe!, sasa utakuwa unatembea au unapiga gwaride magoti yakiwa mbele...lol!
Ha ha ha kwa sisi tusiojua, lete picha ya wanja wa sina bwana, unapakwajeKupaka wanja wa Sina bwana siwezi
[emoji3][emoji3]Teh hujawahi kuona mtu kavaa heels afu hajui kuzitembelea ha ha ha ha magoti yanatangulia mbele kama mosheni flani hivi ya masanja mkandamizaji
Ha ha hamagoti yatangulie mbele kama mbuzi
nimecheka sana madame daah, maana nimevuta ile taswira ya baadhi ya wadada wanavyokua, kama yule wa juzi video yake akiwa katika mahafari ilisambaamagoti yatangulie mbele kama mbuzi
Ya kweli haya?Bora umesema wewe tungesema siye ( me) pasingetosha hapa.....mwingine kazi yake ni bibi shamba eti naye anataka urembo huo sijui atawafundishaje kilimo kule kijijini!!
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
hahhahahha usinikumbushe ile siku aic!khaa!