Urembo ulionishinda mimi.....

Vimini napenda mno, heels pia ila za size ya kati sio ndeefu nivae hadi magoti yatangulie mbele kama mbuzi
 
Leggings zinatakiwa kuundiwa "regulatory body".

Nyingine zina qualify kama "passive aggressive sexual assault".

Sent from my Kimulimuli
 
Tena hivi vya asili huwa naona bora zaidi cos ukichanganya mwenyewe at least unajua umeweka nini. Kitu kingine kiasilia ni yai, ukitoa yolk inayobaki ni mask nzuri sana.
Scrub mbona sio kazi sana?
Ni kujituma tu, halafu hata gharama ni ndogo.
 
Tena hivi vya asili huwa naona bora zaidi cos ukichanganya mwenyewe at least unajua umeweka nini. Kitu kingine kiasilia ni yai, ukitoa yolk inayobaki ni mask nzuri sana.
Scrub mbona sio kazi sana?
Ni kujituma tu, halafu hata gharama ni ndogo.


hyo ya yolk inatoa kwel kwel mafuta! mie navyopenda urembo sasa!za asili ni the best!
 
Teh hujawahi kuona mtu kavaa heels afu hajui kuzitembelea ha ha ha ha magoti yanatangulia mbele kama mosheni flani hivi ya masanja mkandamizaji
[emoji3][emoji3]

brain is the beautiful part of the body.
 
Bora umesema wewe tungesema siye ( me) pasingetosha hapa.....mwingine kazi yake ni bibi shamba eti naye anataka urembo huo sijui atawafundishaje kilimo kule kijijini!!

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Ya kweli haya?
Ninyi wanaume ndio mnafanya yote haya yawepo. Sisi wenye ngozi nywele asili mnatuona washamba wavaa mawig aka nywele za katani na wafu mnawagombania. Wenye ngozi ya kufanana na wazungu ndio warembo. Sisi wengine ni wasafiri kafiri tunawapisha waendao kwa haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…