Urembo ulionishinda mimi.....

Urembo ulionishinda mimi.....

Halafu wewe wa pili humu nakusikia unasema huwezi wedges na mwenzako Heaven Sent
Mbona naona kama ndio most comfortable heels ever!, kama viatu vya kuzurulia.
Ooh kumbe unakumbuka. ... Ndo nimekumbuka leo kuwa mzee aliwahi kuninunulia wedges za Sunday school, sikukuu ya Mikaeli na watoto, utanitakaa. But ukubwani hapana kabisaaa
 
Mrs air kanikumbusha nikasema kumbe mko wengi msopenda wedges [emoji2]

Teh kama nakuona na catwalks zako[emoji151] [emoji151] [emoji151]

Haha!, mbona I wish ningekuwa 5'9
 
tehe tehe tehe umenikumbusha nilikuwa among the bride maid kwenye harusi ya rafiki yetu, niliacha historia saloon maana ilikuwa wanja ukikaribia tu jichoni, jicho lina vibrate balaa hadi machozi, ikabidi waniache tu
 
Mi kuna send off nlikataa kupambwa saloon, kila mtu kapambwa mi tu nikakata, tupo njiani tunaenda ukumbini maza mmoja akaomba nipake hata lipstick, akanipa yake nikapaka teh
 
kwakweli mie km ndo biharus ningekuchomoa! kha! mbn kuna watu wanaremba vzr sana hata huzd mamekup hayo!mie sipend kurembwa km maharus wa kiislam! huwa sipend yale maurembo ya kung'aa machoni!aic ww kha!hahahah!
 
Si bora tu nilikataa make hata ningepakwa ningefuta teh
 
Back
Top Bottom