Urembo ulionishinda mimi.....

Urembo ulionishinda mimi.....

410.PNG
ngj nitafte pic ya mrembo mweusi unielewe
 
hhahaha aisee! ungekuwa mdg wangu ungependa tu!
Aaah wapi, dada angu alikua ananimind hadi akachoka ndivo nilivo.....
Mi nikipaka lotion na poda ya brown nimemaliza.
Ye anajipodoa mno wanja lipstick kichwani ana weave, mi walaaaa
 
Aaah wapi, dada angu alikua ananimind hadi akachoka ndivo nilivo.....
Mi nikipaka lotion na poda ya brown nimemaliza.
Ye anajipodoa mno wanja lipstick kichwani ana weave, mi

hahahahiv ilepoda huwa inaitwaje?duh we mhenga !weav siolazima kushonea! namanish makeup ya mbaliiii
 
teh teh sijui kwann unahis makeup ni mby! usiapply kila siku ! mie sipakag daily napaka kuendana na mood napaka ya mbaali!kuzuia mngao wa mafuta uson! hahah mm hizo rang za juu ya jicho ndo huwa sipend! ova unaenda kuwinda pye!labda smokey eyes mie napendaga!
 
Mie sio kuwa naona make up mbaya no!!!!
Simple make up ni nzuri, mtu akipaka anapendeza and I like it.... Ila mie kupaka ndio siwezi teh ila ntajifunza
 
*kuchonga nyusi/kupaka wanja kwenye nyusi
*kupaka rangi kucha
*kuvaa suruali/vimini(japo nlikuwa navaa ila kwa sasa siwezi kabisa nao ni mwendo wa madera na magauni marefu)
*kutumia cream
*kuvaa viatu virefu(naona kama naanguka hahahahaha)
 
kwann umeacha kuvaa vimin na trauza?umri umekutupa mkono au?ht mie nimeacha kuvaa skintyt!navaaga jionnavyokimbia mchakamchaka! napo bado keroo road!
 
so urembo wako zaid ni nn?
 
kwann umeacha kuvaa vimin na trauza?umri umekutupa mkono au?ht mie nimeacha kuvaa skintyt!navaaga jionnavyokimbia mchakamchaka! napo bado keroo road!
Sina hata umri kubwa ila nlipojifungua nlinenepa sana ndo ikawa mwisho wa kuvaa hizo nguo
 
Back
Top Bottom