Urembo ulionishinda mimi.....

Urembo ulionishinda mimi.....

Yani mimi sinaga habari kwa kweli na nalipenda tege langu +kuliflaunt. confidence yangu ni level za mbutananga


hahhaha jaman mwenzako nakula nitapaliwa bure ! hahaha level ya mbutananga jaman si level za nchii hii jaman! nikikumbuka yae machupi uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Mie na vipedo sasa, najishaua ndugu yangu utadhani nina guu[emoji87] . Vimini nagonga kama kawa, afu bado mlonjo ni mrefuu

mie pedal navaa vzr sana! hahahah! mie sina mlonjo ila nina tege amaizing! ila nikivaa highheels ukaambiwa nina tege utabisha! hahha!BORA KUJIKUBALI


Mnavyotulingishia na matege yenu sasa!
Hongera zenu asee![emoji126]

Ni kweli lakini muhimu kujikubali.
 
Back
Top Bottom