Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Ooh kumbe unakumbuka. ... Ndo nimekumbuka leo kuwa mzee aliwahi kuninunulia wedges za Sunday school, sikukuu ya Mikaeli na watoto, utanitakaa. But ukubwani hapana kabisaaaHalafu wewe wa pili humu nakusikia unasema huwezi wedges na mwenzako Heaven Sent
Mbona naona kama ndio most comfortable heels ever!, kama viatu vya kuzurulia.
Yani navyopenda kuitwa "tall", hehehe utadhani nikiitwa napewa hela[emoji126] [emoji126]My dear mie hapana hizo habari kwakweli, wedges zinatosha.
I tried nikaona ni mateso tu, alafu najiona kama ngongoti!!
Teh kama nakuona na catwalks zako[emoji151] [emoji151] [emoji151]Haha, si unajua ungongoti ndo dili, unakuwa kama model fulani hivi..
Hahaa hapo pa mguu sasa, na hili tege hahahaEwaa!, kwa kweli. Utageuza shingo mpaka basi.
Haha chezea kuswing wewe, tutavaa tu heels hata kama magoti yanatangulia mbele
Weee kuna mienendo ya heels inachekeshaga jamani, acha tu. Magoti ndo yanatangulia hahahHahaha!, gelofrendi wako alinichekesha, eti magoti yanatangulia mbele, so halafu mwili unabaki nyuma...jamani sipati picha huo mwendo khaa! [emoji16] [emoji28]
Ooh kumbe unakumbuka. ... Ndo nimekumbuka leo kuwa mzee aliwahi kuninunulia wedges za Sunday school, sikukuu ya Mikaeli na watoto, utanitakaa. But ukubwani hapana kabisaaa
Teh kama nakuona na catwalks zako[emoji151] [emoji151] [emoji151]
Hahaa hapo pa mguu sasa, na hili tege hahaha
Hahaha!, imagine magoti yatangulie halafu bado viatu vikuume, mweh!!![emoji1]Weee kuna mienendo ya heels inachekeshaga jamani, acha tu. Magoti ndo yanatangulia hahah
Weee em niache nifwe na fashooonTege bwana likipinda vizuri, likawa 180° halafu na nyama, unalivalia chochote, heels, flats, snickers you name it.
Lakini lisiwe na nyama halafu ukavae mini au shorts, inabidi usafiri uendane na abiria.
Wee sio kwa hiyo adhabuHahaha!, imagine magoti yatangulie halafu bado viatu vikuume, mweh!!![emoji1]
Hahah!, kwa kweli hata tuseme..Weee em niache nifwe na fashooon
Havai. Kumbuka swali lako umeuliza urembo gani hawezi. Kwahyo JOHN HAWEZI KUVAA WIG.John nawe unavaa wig?
Sijui kwan nini, sivutiwagi na wedges kabisaaa
Hata mie hizo wedges hapana siziweziSijui kwan nini, sivutiwagi na wedges kabisaaa
Daudi uko vzr
Jesus is my saviour and a friend
Mi kuna send off nlikataa kupambwa saloon, kila mtu kapambwa mi tu nikakata, tupo njiani tunaenda ukumbini maza mmoja akaomba nipake hata lipstick, akanipa yake nikapaka tehtehe tehe tehe umenikumbusha nilikuwa among the bride maid kwenye harusi ya rafiki yetu, niliacha historia saloon maana ilikuwa wanja ukikaribia tu jichoni, jicho lina vibrate balaa hadi machozi, ikabidi waniache tu
Mi kuna send off nlikataa kupambwa saloon, kila mtu kapambwa mi tu nikakata, tupo njiani tunaenda ukumbini maza mmoja akaomba nipake hata lipstick, akanipa yake nikapaka teh
Si bora tu nilikataa make hata ningepakwa ningefuta tehkwakweli mie km ndo biharus ningekuchomoa! kha! mbn kuna watu wanaremba vzr sana hata huzd mamekup hayo!mie sipend kurembwa km maharus wa kiislam! huwa sipend yale maurembo ya kung'aa machoni!aic ww kha!hahahah!