merci.😛
povu la sabuni au veepe!.. urembo una definition nyingi ni neno pana mno ni zaidi ya hizo nguo nzuri ulizozitaja..jaribu kugoogle utaelewa zaidi....!mie huwa nafananisha urembo na uvaaj wa nguo nzuri (elewa maan ya nguo nzuri) sidhan km utaweza apply sleek ukashindwa nunua nguo quality!napimaga hapo pia! vinabebana! mapovu hayooooooo
Mie nna wig nne! so nabadil mara kwa mara!..kazi yangu ni ya ofisini yaani naingia asubuhi natoka jioni..jua halinipigi labda weekend na sio kivile..uzuri najua kuyatunza..yanaosheka, na kupasika vizuri! kwasabu niko real nikiwa na shemela wako navua..hahah nabaki na nywele zangu za kawaida! haha si unajua lake mtu halimtapishi kazoea!! kwahyo hanishangai!hebu tueleze na ww wigs zako zinanukaga kias cha kumkera shemela?
povu la sabuni au veepe!.. urembo una definition nyingi ni neno pana mno ni zaidi ya hizo nguo nzuri ulizozitaja..jaribu kugoogle utaelewa zaidi....!
smhw! lakini si unajua kuna usemi unasema mwanamke reception eh haiwezekani ukawa umesuka manywele yaliyofumuka auu una low cut huzihudumii zimefubaa alafu ati ukawa umevaa gauni refu utaonekana mrembo! hapo utakua mchafu kuoga nadhani..! na hapo kwenye matovu wataka kunambia ukimuona mtu anaogelea kavaa swimming costume utamuhesabia siyo mrembo?mmhyaan namanisha urembo unabebwa sana na nguo pia! huez ukawa mrembo ukawa unavaa nguo za ajaba ajabu km mavitovu nje,nk! mie nikashaona mtu ni mrebo automatic najua na nguo zake zitakuwa nzuri!
smhw! lakini si unajua kuna usemi unasema mwanamke reception eh haiwezekani ukawa umesuka manywele yaliyofumuka auu una low cut huzihudumii zimefubaa alafu ati ukawa umevaa gauni refu utaonekana mrembo! hapo utakua mchafu kuoga nadhani..! na hapo kwenye matovu wataka kunambia ukimuona mtu anaogelea kavaa swimming costume utamuhesabia siyo mrembo?mmh
Napenda sana kumwona mwanamke/msichana kapaka wanja na lipstick vizuri / kwa ustadi . wanapendeza na USO unapendeza,ng'aa ,tulia. Naishia kuwasifia tu. Ila Mimi hmm! Hapana. Allergy zimenifanya niwe mtazamaji Wa wengine tu.
Sina cha kutumia foundation wala poda....ha ha ha ha
Napenda sana kumwona mwanamke/msichana kapaka wanja na lipstick vizuri / kwa ustadi . wanapendeza na USO unapendeza,ng'aa ,tulia. Naishia kuwasifia tu. Ila Mimi hmm! Hapana. Allergy zimenifanya niwe mtazamaji Wa wengine tu.
Sina cha kutumia foundation wala poda....ha ha ha ha
Napenda sana kumwona mwanamke/msichana kapaka wanja na lipstick vizuri / kwa ustadi . wanapendeza na USO unapendeza,ng'aa ,tulia. Naishia kuwasifia tu. Ila Mimi hmm! Hapana. Allergy zimenifanya niwe mtazamaji Wa wengine tu.
Sina cha kutumia foundation wala poda....ha ha ha ha
pole mamy
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]Nikiona wedges hii ndo picha inakuja kichwani
View attachment 541033
Mi huko kujipaka wanja, lipstick na simple make up napenda sana tu ila ndo nikijaribu nashindwaWoii humu kila mtu natural aisee..mambo ya unatural unaiachia misitu..mwanamke urembo bana....utaezaje kutofautishwa na kaka zako..
wig yes navaa ninazo za aina nne.. fupi..ndefu.curl..ingine nimeshindwa kuidescribe,, hahah ila siyo yale ya kung'aa k.koo buku 10 no ni zile waweza feel human hair..
kucha sibandiki coz nimejaaliwa ndefu na ngumu
wanja..aisee siez toka ndani bila kupaka teh teh hadi msibani
lipstic oh napenda mno haswaa zile za rangi za oriflame..
mavazi navaa yote yote ilimradi sivunji sheria za nchi...
poda mhh hapo inategemea maana ngozi yangu uso haitaki mambo mengi rahisi kuhumuka haha pale ninapopaka boda chenga....nimejizoesha kupaka sleek nanunuaga Atsoko maana za k.koo uchelewi kupewa ya kichina uso ukatokewa na chunusi kama fenesi!
Ni hayo tu maoni yangu! ukiniquote ufala utafurahi..am too real sipendi kufake life!hahha
Ila tuache maskhara my dia hivi vitu ulivyovitaja..ukiwa unatumia Mara kwa Mara vinaongeza muonekano mzuri.Jaribu kutumia Mara kwa Mara utazoea.Japokua tabia ni ngozii..huez ibadilisha[emoji6]Mi huko kujipaka wanja, lipstick na simple make up napenda sana tu ila ndo nikijaribu nashindwa
Mi huko kujipaka wanja, lipstick na simple make up napenda sana tu ila ndo nikijaribu nashindwa
TABIA ni ngozi, hii yangu ni ngozi ya mamba😀Ila tuache maskhara my dia hivi vitu ulivyovitaja..ukiwa unatumia Mara kwa Mara vinaongeza muonekano mzuri.Jaribu kutumia Mara kwa Mara utazoea.Japokua tabia ni ngozii..huez ibadilisha[emoji6]
Mi huko kujipaka wanja, lipstick na simple make up napenda sana tu ila ndo nikijaribu nashindwa