Woii humu kila mtu natural aisee..mambo ya unatural unaiachia misitu..mwanamke urembo bana....utaezaje kutofautishwa na kaka zako..
wig yes navaa ninazo za aina nne.. fupi..ndefu.curl..ingine nimeshindwa kuidescribe,, hahah ila siyo yale ya kung'aa k.koo buku 10 no ni zile waweza feel human hair..
kucha sibandiki coz nimejaaliwa ndefu na ngumu
wanja..aisee siez toka ndani bila kupaka teh teh hadi msibani
lipstic oh napenda mno haswaa zile za rangi za oriflame..
mavazi navaa yote yote ilimradi sivunji sheria za nchi...
poda mhh hapo inategemea maana ngozi yangu uso haitaki mambo mengi rahisi kuhumuka haha pale ninapopaka boda chenga....nimejizoesha kupaka sleek nanunuaga Atsoko maana za k.koo uchelewi kupewa ya kichina uso ukatokewa na chunusi kama fenesi!
Ni hayo tu maoni yangu! ukiniquote ufala utafurahi..am too real sipendi kufake life!hahha