Urembo ulionishinda mimi.....

hahahha ukienda mbeya wanawake weng ni wa PINK! yaan kwasabb ni weusi wanajichubua had wanakuwa pinky! hahaha hata iringa wamama wanaopasua mbao wako hvyo wanajiitaga mama mbao!
huko sio iringa,ni mafinga,wanawake wa iringa wanajitambua kama wakenya na waganda,no kujichubua..hao watakuwa wakinga wafanyabiashara ndio wana mambo hayo,maishani mwangu siwezi kuwa na mwanamke anayejichubua au anaye`fake looking yake ya asili,never!
 
Uchafu, Majasho, kuvaliwa muda mrefu bila kubadilishwa hizo zaweza kuwa miongoni mwa sababu.

Ila likinuka linachefua Sana, kushika kichwa natural ambacho hakijavishwa kikofia kuna raha yake kunako 6*6.


sure inaongeza hisia!
 
Permanent eyebrows zile wanafanya wa-Zaire saloon aitakaa mijaribu.
 
mimi pia nazipenda...

ipo siku ntaanzisha Daftari la wapiga kura kwenye Paja moja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu muhimu wote... siku nikipotea wanirudishe kwetu

Sent From my C5 wereva
Hivi wacharoji wazuri si ni wanaumee??????? Nimekumbuka Hadija kopa na dereva na paja......
 
mimi pia nazipenda...

ipo siku ntaanzisha Daftari la wapiga kura kwenye Paja moja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu muhimu wote... siku nikipotea wanirudishe kwetu

Sent From my C5 wereva
Uandikishaji utakuwa kituo gani? teh! [emoji28]
 
Hivi wacharoji wazuri si ni wanaumee??????? Nimekumbuka Hadija kopa na dereva na paja......
ndio wanaume ndio wanachora.
Amnaa kwa hili paja langu hawezi hata kupindisha mstari, maana ni bovu[emoji23][emoji23], huwaga wanachora wakina Tunda watoto weupee,akina masogange
mimi ni nani hata nikampandishe mori[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]paja limejaa michirizi

Sent From my C5 wereva
 
Mwanamke anayebandika kope halafu ukaziona hizi kope za kubandika anatisha kuliko shetani aliyeamshwa ghafla kutoka usingizini.

hahahaa lakin kuna wengne zinawapendeza ukibandika zile fupi! sijui ndo nch 8'
 
Hongera sana dada kwakukataa utumwa wa Fashion. Sipati picha ulivyo mzuri, nadhani wewe ni mzuri kuliko Miriam Odemba.

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sipendi mwanamke mwenye kuvaa minguo mingi. unakuta mtu kavaa kyupi, skin taiti kisha suruali ya jinzi juu, sasa ukute na tojo la saridalamu, mpaka maku ina kanu vibaya.
Kujaradia huko vipi, teh labda hataki mbako
 
Na urembo wa kunyoa pubic hair nao haujakushinda madam?
 
Evelyn Salt unaona sasa kwanini nilikupenda? Nilishakuambia toka awali kuwa wewe hauna mfano ni mwanamke mzuri wa asili na huo uzuri wako unanichanganya kinoma. Nashukuru sana kwa kunisikiliza mpenzi wangu na lile Vogue unalotaka nitakununulia tu mwaka huu kabla haujaisha. Endelea tu kunitunzia heshima yangu.
 


hahahha huko huko mafinga mkuu! yes mostly ni wakinga!wananifurahishaga sana sema wana pesaaaaaaa!
 
Umefuga dread au zipo tu unachana?Try jojoba oil...yawe original utafurahia na roho yako!!
Ni dread mpnz, sasa nikiosha na ku repair naona zinakatika tu (zile zinazoota ndo zinakatika) sijui shida nini, napata wapi hayo na original nayajuaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…