LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,320
- 6,686
huko sio iringa,ni mafinga,wanawake wa iringa wanajitambua kama wakenya na waganda,no kujichubua..hao watakuwa wakinga wafanyabiashara ndio wana mambo hayo,maishani mwangu siwezi kuwa na mwanamke anayejichubua au anaye`fake looking yake ya asili,never!hahahha ukienda mbeya wanawake weng ni wa PINK! yaan kwasabb ni weusi wanajichubua had wanakuwa pinky! hahaha hata iringa wamama wanaopasua mbao wako hvyo wanajiitaga mama mbao!