Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ni mke wa mtu huyu mkuu na harusi milihudhuriaEvelyn Salt unaona sasa kwanini nilikupenda? Nilishakuambia toka awali kuwa wewe hauna mfano ni mwanamke mzuri wa asili na huo uzuri wako unanichanganya kinoma. Nashukuru sana kwa kunisikiliza mpenzi wangu na lile Vogue unalotaka nitakununulia tu mwaka huu kabla haujaisha. Endelea tu kunitunzia heshima yangu.