Urembo ulionishinda mimi.....

Urembo ulionishinda mimi.....

Evelyn Salt unaona sasa kwanini nilikupenda? Nilishakuambia toka awali kuwa wewe hauna mfano ni mwanamke mzuri wa asili na huo uzuri wako unanichanganya kinoma. Nashukuru sana kwa kunisikiliza mpenzi wangu na lile Vogue unalotaka nitakununulia tu mwaka huu kabla haujaisha. Endelea tu kunitunzia heshima yangu.
Ni mke wa mtu huyu mkuu na harusi milihudhuria
 
JF Utaipenda kwa Kuwa Fake.... Mpaka Muda huu hakuna Dada aliyemsupport au kuwa kinyume na Mtoa Mada kuwa anapenda kuvaa Wigi, Lakini walio wengi wanavaa , Sana nashangaa hapa wanajitoa ufahamu hawapendi.. Enyi Wadada mara moja mseme Ukweli Basi
 
mimi pia nazipenda...

ipo siku ntaanzisha Daftari la wapiga kura kwenye Paja moja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu muhimu wote... siku nikipotea wanirudishe kwetu

Sent From my C5 wereva
Hivi kuchora tattoo si inauma?
 
Ni dread mpnz, sasa nikiosha na ku repair naona zinakatika tu (zile zinazoota ndo zinakatika) sijui shida nini, napata wapi hayo na original nayajuaje
Original nenda kwenye malls au maduka makubwa.Pia usipende sana kusuka mitindo hizo dreads wacha zitulie zipate nguvu na nywele mpya imee bila kusukwa.Pia usipake bleach kwanza mpaka ziache kukatika.
 
Ila sijui wengine ila hapo kwa nyusi nahisi walio wengi wanakuwa kama paka wa eneo la kitimoto... Kuhusu kuweka kope nako wengine ndio unawaonea hadi huruma... Ila my dada hata kama kujiremba ni wajibu ila msijisahau mkawa kama kale kademu kalikomfall nanilii maana yule anafanya vile kiuigizaji ila akiwa real unaweza saliti familia...Joking
Kuna binamu yangu huwa anachora wanja unatokea kwenye nyusi unakaribia kugusa sikio, mwenyewe anauita "hawara mshenzi" huwa nacheka mno
 
hahahaa lakin kuna wengne zinawapendeza ukibandika zile fupi! sijui ndo nch 8'
Zinazopendeza huwezi hata kuona kwamba zimebandikwa.

Siongelei hizo.

Naongelea zile zimebandikwa halafu nyuma zimebinuka hivi unaona kabisa zimebandikwa.
 
Sawa natural "gd" unitafute though

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
hi
Zinazopendeza huwezi hata kuona kwamba zimebandikwa.

Siongelei hizo.

Naongelea zile zimebandikwa halafu nyuma zimebinuka hivi unaona kabisa zimebandikwa.
zo ndo za bei ya chini a kilugulu!cha!
 
Unaonekana ni demu uliyekuja mjini juzi ni ushamba wako hapo [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my IPhone-7 using JamiiForums mobile app
 
Mimi kupaka lipstick na kuvaa suruali siviwezi

anything you lose from being honest, you never really had to begin with.
 
JF Utaipenda kwa Kuwa Fake.... Mpaka Muda huu hakuna Dada aliyemsupport au kuwa kinyume na Mtoa Mada kuwa anapenda kuvaa Wigi, Lakini walio wengi wanavaa , Sana nashangaa hapa wanajitoa ufahamu hawapendi.. Enyi Wadada mara moja mseme Ukweli Basi


we nawe uwe unatusoma vzr mbn mie nmesema napaka wanja lakin blown na ninaweka kucha nikiwa na moody!
binafs sn wig hata 1 ila huwa nashonea mayb mara 2/3 kwa mwaka! mie napenda kusuka kukuza zaid nywel zangu ingawa ninao ndefuu ,kushonea wig kila mara unadhoofisha nywele na kuikata! nywele mby inakuwa km ina kwashiakor!
 
Back
Top Bottom