Ni mke wa mtu huyu mkuu na harusi milihudhuriaEvelyn Salt unaona sasa kwanini nilikupenda? Nilishakuambia toka awali kuwa wewe hauna mfano ni mwanamke mzuri wa asili na huo uzuri wako unanichanganya kinoma. Nashukuru sana kwa kunisikiliza mpenzi wangu na lile Vogue unalotaka nitakununulia tu mwaka huu kabla haujaisha. Endelea tu kunitunzia heshima yangu.
Afu ntakuwa nakupendea kipi sasa?La Aziz nipeleke China kurekebisha hii flat screen
Hivi kuchora tattoo si inauma?mimi pia nazipenda...
ipo siku ntaanzisha Daftari la wapiga kura kwenye Paja moja[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu muhimu wote... siku nikipotea wanirudishe kwetu
Sent From my C5 wereva
Wakati kila kila corner unayopita kuna misabwandaAfu ntakuwa nakupendea kipi sasa?
Na huyo anayemsifia ndo mmewe sasa. Nilisoma naye VETA tukispesholaiz kwenye fani ya ufyatuaji matofaliNi mke wa mtu huyu mkuu na harusi milihudhuria
Original nenda kwenye malls au maduka makubwa.Pia usipende sana kusuka mitindo hizo dreads wacha zitulie zipate nguvu na nywele mpya imee bila kusukwa.Pia usipake bleach kwanza mpaka ziache kukatika.Ni dread mpnz, sasa nikiosha na ku repair naona zinakatika tu (zile zinazoota ndo zinakatika) sijui shida nini, napata wapi hayo na original nayajuaje
Hiyo nawaachia wenye fani zao...Wakati kila kila corner unayopita kuna misabwanda
Kuna binamu yangu huwa anachora wanja unatokea kwenye nyusi unakaribia kugusa sikio, mwenyewe anauita "hawara mshenzi" huwa nacheka mnoIla sijui wengine ila hapo kwa nyusi nahisi walio wengi wanakuwa kama paka wa eneo la kitimoto... Kuhusu kuweka kope nako wengine ndio unawaonea hadi huruma... Ila my dada hata kama kujiremba ni wajibu ila msijisahau mkawa kama kale kademu kalikomfall nanilii maana yule anafanya vile kiuigizaji ila akiwa real unaweza saliti familia...Joking
Zinazopendeza huwezi hata kuona kwamba zimebandikwa.hahahaa lakin kuna wengne zinawapendeza ukibandika zile fupi! sijui ndo nch 8'
Ni dread mpnz, sasa nikiosha na ku repair naona zinakatika tu (zile zinazoota ndo zinakatika) sijui shida nini, napata wapi hayo na original nayajuaje
Ni mke wa mtu huyu mkuu na harusi milihudhuria
Kuna binamu yangu huwa anachora wanja unatokea kwenye nyusi unakaribia kugusa sikio, mwenyewe anauita "hawara mshenzi" huwa nacheka mno
zo ndo za bei ya chini a kilugulu!cha!Zinazopendeza huwezi hata kuona kwamba zimebandikwa.
Siongelei hizo.
Naongelea zile zimebandikwa halafu nyuma zimebinuka hivi unaona kabisa zimebandikwa.
Mkuu ni mali za kaka yangu hizo kama mbaliKwani mimi ni nani kwake, unanijuwa au? Ulipokuja kwenye harusi mbona nilikuona na mkono ulinipa?
Zaidi ya yote, kanuni yangu kubwa ni ile ile.hi
zo ndo za bei ya chini a kilugulu!cha!
JF Utaipenda kwa Kuwa Fake.... Mpaka Muda huu hakuna Dada aliyemsupport au kuwa kinyume na Mtoa Mada kuwa anapenda kuvaa Wigi, Lakini walio wengi wanavaa , Sana nashangaa hapa wanajitoa ufahamu hawapendi.. Enyi Wadada mara moja mseme Ukweli Basi