Urembo ulionishinda mimi.....

Urembo ulionishinda mimi.....

Kuvaa wigi na wivin nilivaa wakati wa kipaimara . ...
Kufuga kucha na kubandika yani hata za miguu huwa nakuta vipisi tu na maumivu zimekatikia wapi hata sijui natembea miguu baja ha haha ...

Kuongeza kalio yani nimeletewa dawa mpaka na shuhuda mi hata hawanishawishi wameishia kuniita pasi na mbahili.. niongeze kalio halafu iweje Acha niendelee kutikisa mgongo
 
hahahha nimecheka hapo namba nne! binafsi wanja mweusi unahitaj wito! me pia wanja mweusi najhs kchekesho tupu! wanja blown ni mtamu ujue tu kuushape! mie niliipa 20000/=kufundishwa kujishape wanja km wa lulu lol! anza mdg mdg wanja unaongeza urembo mnoo!

kope mie nilibandika sik ya harus zile fupi nikawa romantic hatar! toka hapo sijawah fikiria kubandika kope! mie yale maref ya kina irine uwoya huwa nashindwa jaman kuelewa!

mie kucha nabandika mara moja moja!nikiwa na moody!

pambana na hali yako tu mamy! lol!
Wanja najaribu jaribu, kucha hapana nlivoumizwa siku ile sirudii, afu ilikua kutoa ushamba tu nna kucha ndefu za mikono na miguu hata sina haja ya kubandika
 
Kuna vingine sijawahi kujaribu, vingine nimejaribu vikanizidi uwezo....

1: kupaka wanja kwenye nyusi

Huu urembo ulinishinda tangu enzi za mwalimu, kila nikijaribu naona nakua Kama nyau hasa hasa wanja mweusi, basi nikijaribu kupaka nafuta naendelea na mambo mengine, mara chache nimejaribu wanja wa brown napaka kwa mbaaali naona unakuja kuja mdogo mdogo ntaweza.

2: kuvaa wig/kushonea weaving

Hapa nimeinua mikono, wig nilivaa mwaka flani wakati naanza kusokota dread siwezi kwenda kazini vile, nikanunua wig kwanza dukani tu naambiwa linauzwa elf 25 nikashtuka nlijua buku ten, nikanunua nikavaa mmh najiona nakua kama kanjibai, linawasha, lina joto nlipata shida, nywele zilivorefuka sijarudia tena huu urembo siuwezi kabisa.

3: kubandika kucha

Nilijaribu siku moja kutoa ushamba, naona shost angu kila siku anabandika anapendeza, akanipeleka namie nikabandika mmh siku hiyo hata kutandika kitanda nilishindwa, kuchomeka shuka kwenye godoro ikawa tabu, siku chache nikazoea, siku ya kuzibandua sasa yani zinang'olewa utadhani nimetekwa nlikua na kazi ya kupiga kelele kama kimbwa, sirudii tena sitarudia kabisa.

4: kubandika kope

Hii kujaribu tu siwezi make, nikiwaona kina mwajuma ndalandefu wanavokua huwa nacheka, kope zinasimama utadhani mtu kavaa kofia, yana wenyewe haya

5: kupaka cream/kujichubua

Hii kazi ya kujipa mateso hii, uso mweupe miguu myeusi, kuna siku nliwekewa maji ya cream bila kujua ushamba huu, nimeulizwa tu niweke maji nkajibu eeh weka nlijua labda glycerin, duh siku mbili tu nkaanza kuwa kama tumbili....

Wewe huwezi nini?

Nb: naombeni mniambie mafuta ya nywele natural, naona nywele zinakatika

i like the natural woman like u ,,,,,,,,,,take 5
 
Kunyoa nyusi ......

Kujichubua


Kubandika kucha


[emoji3][emoji3][emoji3]kuvaa kimini...miguu kama fimbo

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Mimi sipendi mwanamke mwenye kuvaa minguo mingi. unakuta mtu kavaa kyupi, skin taiti kisha suruali ya jinzi juu, sasa ukute na tojo la saridalamu, mpaka maku ina kanu vibaya.
 
Sio Wote wavaao hayo "mawigi" huwa yananuka.

Yapo ambayo ni masafi Sana, ingawa hata Mimi binafsi sifurahii nikutanapo na anayevaa kwangu hunipunguzia ladha Fulani.


mie nadhan kunuka wig ni uchafu sijui niseme majasho!au yale ya bei ya chin nadhan!
 
Wigs, kope za kubandika, weaving, kujikoboa...vyote vimenishinda. Nimebakiza kutinda nyusi mara moja kwa miezi na mafuta yangu ya Nazi MINARA..nimemaliza.
Ndio nilichokupendea hicho.
 
Kupaka wanja wa Sina bwana siwezi ila wa Lulu ni master.

Kuvaa Half naked - hiki kitu nakishindwa siku zote.

kibandika makucha marefu kama akina watu maarufu - siwezi kabisa
nikibandikaga zamani kipindi nmemaliza shule ila nilikua nazikata zknafanana kama kucha ndogo, ila now days nna kucha zangu natural safi kabisa.

Kuvaa Cheni - katika urembo nisiouweza ni kuvaa cheni na pete. Hali kadhalika na vikuku ndio mavichukia haifai

kubandika kope natokaga tongotongo la hatari
Nilibandikaga mara moja wakati nna course ya Makeup




Sent From my C5 wereva
 
Mimi sipendi mwanamke mwenye kuvaa minguo mingi. unakuta mtu kavaa kyupi, skin taiti kisha suruali ya jinzi juu, sasa ukute na tojo la saridalamu, mpaka maku ina kanu vibaya.


hahahah hayo na mm huwa nachoka! unavaa jeanz then unajikaba tena na mskin tyt kha wann! mie kiujumla toka nmemaliaza o level sijui neno skintyt hzo fup za kuvalia ndani(nakumbuka wakat ule ilikua ni bonge ya fashion)! argh! uzito tup! ukwel inakera mwingne anavaa tite na underskate!
 
wanyakyusa bana sijui wana matatizo gani,wanawake ni wazuri tu ila hawaki kuwa natural....kujichubua sasa khaa!
afu wana sauti kali mno,hawajui kubembeleza kike eti..
 
basi mkuu ukienda tukuyu utaishi single maisha yako yote utakayokuwa pale..


hahahha ukienda mbeya wanawake weng ni wa PINK! yaan kwasabb ni weusi wanajichubua had wanakuwa pinky! hahaha hata iringa wamama wanaopasua mbao wako hvyo wanajiitaga mama mbao!
 
mie nadhan kunuka wig ni uchafu sijui niseme majasho!au yale ya bei ya chin nadhan!
Uchafu, Majasho, kuvaliwa muda mrefu bila kubadilishwa hizo zaweza kuwa miongoni mwa sababu.

Ila likinuka linachefua Sana, kushika kichwa natural ambacho hakijavishwa kikofia kuna raha yake kunako 6*6.
 
Ila sijui wengine ila hapo kwa nyusi nahisi walio wengi wanakuwa kama paka wa eneo la kitimoto... Kuhusu kuweka kope nako wengine ndio unawaonea hadi huruma... Ila my dada hata kama kujiremba ni wajibu ila msijisahau mkawa kama kale kademu kalikomfall nanilii maana yule anafanya vile kiuigizaji ila akiwa real unaweza saliti familia...Joking
 
wanyakyusa bana sijui wana matatizo gani,wanawake ni wazuri tu ila hawaki kuwa natural....kujichubua sasa khaa!
afu wana sauti kali mno,hawajui kubembeleza kike eti..


hahahaha unachosema mkuu ni kweli 100% nina shoga angu jaman ana sauti ngumuu! hahahah hajuag kubembeleza alwys yuko harshy! ila nampenda alivyo!
 
Back
Top Bottom