Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
Huyo dem naye mzembe sana, si angesubiri hedhi zikate kabisa?Daah bro unanitisha knoma
Asikutishe mtu ni hayo madamu ya hedhi yamekudhuru tuNimeGoogle hapa dalili za gono lkin sijapitia hata moja kaka
Swali nje ya mada: JF-Expert Member ina maana gani? Kama Mod anaweza kunisaidia piaWadau wa JF habarini za siku natumaini muko poa na mnaendelea vema na majukum ya kila siku kama binadamu katika kujitengenezea mazingira ya mkono kwenda Kinywani yaani i mean mambo ya Diko
Wadau kama mnavyojua katika stage ya binadam kukua tunakutana na mambo mengi katika relationships, sex stuffs na some stuff like that ( cheating + uasherati) ambayo mengine ni mabaya na mengine ni mazuri na pia mengine ni mabaya lakin kwa upande wa family Rituals inakua ni mazuri.. okay let me go straight
Few days past kama kijana nilikutana na pisi kali inshort mtoto ni mzuri amebarikiwa kila kona ya mwili wake ambapo hakuna mwanaume ambaye atamtia machoni akaacha kushangaa maajabu coz her body is too romantic Sensitive sijawah ona.
Sasa me kama mwanaume niliuelewa mchezo sikuhofia kuucheza basi nikamchombeza mtoto akakubari. Siku ya mgegedo dem akaniletea Tunda kiRoho safi but hapo sikua najua kitu km yuko fresh. Sasa katika kuendelea kula tunda kama kawaida yetu wanaume tunaonesha ufundi kwenye mwili wa mrembo ili umfurahshe ardhike mwishon nakuja shtuka naona damu zinatoka kwenye tunda [emoji527]
Heee!!! Nikastuka dem akajielezea kwamba alikua period lakini ndo ilikua siku ya mwisho kumalizia period na vitu kama hvo ambavyo wanaume wengi hatuelewi, basi mimi nikakubal nikaacha kumega mchezo nikaosha lungu langu [emoji1646] nikatulia
MATATIZO SASA YA KAANZA
Wadau wangu wa JF baada ya tukio hilo niliona nikae bila kusex kwa wik kadhaa ili nione kama nitakua sawa sexually imean lkn baada ya hizi wiki mbili nahisi mambo ambayo siyaelewi kabisa inshort nahis Lungu [emoji1646] linawasha sio kawaida afu kama nikitaka kukojoa kunakua na vimaumicu kwa mbali daah hii hali inanitisha nahisi kama nimeukwaa [emoji25]
Naomba kujua kama kuna mtu ameshapitia hali kama hii ya Lungu kuwasha namna hii au hizi ni dalili za ugonjwa gani? Au ni hali ya kawaida?? Naombeni msaada wadau nasoma comment kwa moyo mkunjufu kabisa
Na kama unajua Dawa naomba unisaidie nisije nikabaki bila[emoji1374][emoji1374][emoji1374][emoji1374]
PLEASE HELP ME GUYS [emoji25]
[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa kauza mechi kisa pisa kali.PatheticRIP in adivans
Asante blazaPole kamanda ila iyo ni dear NGono
Dawa ake. : cerftiaxozone start 1g iv
Azithromycine 500mg OD for 5/7 days
Nenda hospital watakupa ivi ila kama kama Kam nenda pharmacy
Sory lkn I'm a medical personer kwa uzoefu bado Bila vipimo
Pole sana mkuu. Nenda hospital tu kakaWadau wa JF habarini za siku natumaini muko poa na mnaendelea vema na majukum ya kila siku kama binadamu katika kujitengenezea mazingira ya mkono kwenda Kinywani yaani i mean mambo ya Diko
Wadau kama mnavyojua katika stage ya binadam kukua tunakutana na mambo mengi katika relationships, sex stuffs na some stuff like that ( cheating + uasherati) ambayo mengine ni mabaya na mengine ni mazuri na pia mengine ni mabaya lakin kwa upande wa family Rituals inakua ni mazuri.. okay let me go straight
Si kaokota pisi kali?Kuna watu niwapuuzi kwa nini mnapenda ngono zembe kiasi hicho
Kwa staili hii ukimwi utazidi kuongezekaSi kaokota pisi kali?
Halafu inaonekana ina afya nzuri...
Sasa kondomu ya nini?
Inashangaza sana !
Pole kamanda ila iyo ni dear
Dawa ake. : cerftiaxozone start 1g iv
Azithromycine 500mg OD for 5/7 days
Nenda hospital watakupa ivi ila kama kama Kam nenda pharmacy
Sory lkn I'm a medical personer kwa uzoefu bado Bila vipimo
*NGono- GonoPole kamanda ila iyo ni dear NGono
Dawa ake. : cerftiaxozone start 1g iv
Azithromycine 500mg OD for 5/7 days
Nenda hospital watakupa ivi ila kama kama Kam nenda pharmacy
Sory lkn I'm a medical personer kwa uzoefu bado Bila vipimo
[emoji1754][emoji1754]Mkuu mwanamke akiwa siku zake kikawaida huwa anakuwa na dalili nyingi, mimi niliwahi pitia moja kama yako ila nikushauri nenda ukafanyiwe vipimo vya mkojo kwanza, pia UTI iko ivo, UKIMWI huwezi ona sasa mpaka miezi mitatu kupita na zaidi pia dalili za AIDs ni za miaka 2 au 3.
Unahisi kukojoa na kusikia maumivu yaani kama uume unawasha kama kuuma, vaa boksa nyeupe umeona usaha unatoka kila dakika, gonorohea, syphilis, chlamedia na hata UTI ziko hivo.
Dokta akuchome sindano.
Macho hudanganya acha ngono zembeHatujapima lakini huyu hana ugonjwa wowote anaonekana yuko fresh
Wahi hospitaliWadau wa JF habarini za siku natumaini muko poa na mnaendelea vema na majukum ya kila siku kama binadamu katika kujitengenezea mazingira ya mkono kwenda Kinywani yaani i mean mambo ya Diko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee kweli ni hamnazo khaaah.Hatujapima lakini huyu hana ugonjwa wowote anaonekana yuko fresh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unajuaje yuko fresh? Kwa kumwangalia tu? Unafikiri na huo uzuri wake na ulivyompata kirahisi ni wangapi waliopita hapo? Siku hizi watu wanafakamia hizi ARVs wamenona wala huwezi kuhisi kitu!
Umefanya kosa sana kuuza mechi. Si ajabu umeishia kulikwaa gono. Na midamu hiyo UKIMWI ni nje nje yaani. Omba sana hilo gono lisiwe hili sugu linalosababishwa na super bugs lisilosikia antibiotics wala nini. Rungu lako litakongoroka na kuvuja mausaha yanayonuka non stop na hizo goroli zitaoza na kuporomoka huku ukiziona hivi hivi laivu bila chenga; na hakuna kitu utafanya mpaka unaRIP kwa maumivu makali sana!
Na ukibahatika kuchomoka basi hili liwe fundisho kwako. Kamwe usiuze mechi kizembe hata pisi iwe kali namna gani.
Na baada ya miezi mitatu nenda ukapime UKIMWI.
Pisi kali hizi ni target ya kila msuuza rungu halafu umejipeleka kizembe tu. Umeniudhi sana mkuu. Ungekuwa hapa karibu makofi yangekuhusu wallahi [emoji51][emoji51][emoji51]