Urembo wa huyu dada umeniponza, naombeni ushauri

Urembo wa huyu dada umeniponza, naombeni ushauri

a) Nenda hospitali haraka sana mweleze Daktari ukweli wote wa kilichotokea, usifiche chochote
b) Baada ya miezi mitatu kutoka sasa fanya mpango upime VVU
c) Kuanzia leo USIFANYE NGONO KIZEMBE hakikisha unatumia kinga, unaweza kupata sio tu VVU bali hata magonjwa mengine ya zinaa

Kila la heri
 
Nenda hospitali we umeambukizwa mangonjwa ya zinaa
 
Unajuaje yuko fresh? Kwa kumwangalia tu? Unafikiri na huo uzuri wake na ulivyompata kirahisi ni wangapi waliopita hapo? Siku hizi watu wanafakamia hizi ARVs wamenona wala huwezi kuhisi kitu!

Umefanya kosa sana kuuza mechi. Si ajabu umeishia kulikwaa gono. Na midamu hiyo UKIMWI ni nje nje yaani. Omba sana hilo gono lisiwe hili sugu linalosababishwa na super bugs lisilosikia antibiotics wala nini. Rungu lako litakongoroka na kuvuja mausaha yanayonuka non stop na hizo goroli zitaoza na kuporomoka huku ukiziona hivi hivi laivu bila chenga; na hakuna kitu utafanya mpaka unaRIP kwa maumivu makali sana!

Na ukibahatika kuchomoka basi hili liwe fundisho kwako. Kamwe usiuze mechi kizembe hata pisi iwe kali namna gani.

Na baada ya miezi mitatu nenda ukapime UKIMWI.

Pisi kali hizi ni target ya kila msuuza rungu halafu umejipeleka kizembe tu. Umeniudhi sana mkuu. Ungekuwa hapa karibu makofi yangekuhusu wallahi [emoji51][emoji51][emoji51]
Halafu anasahau yule Bwana 19 anasubiri tu Ujibebeshe hili Gonjwa ili umrahisishie kazi..........kwa hiyo wakati unajiuliza kuhusu Goma ujue kabisa umejiactivate na Mr.19
 
Wadau wa JF habarini za siku natumaini mko poa na mnaendelea vema na majukum ya kila siku kama binadamu katika kujitengenezea mazingira ya mkono kwenda Kinywani yaani i mean mambo ya Diko

Wadau kama mnavyojua katika stage ya binadam kukua tunakutana na mambo mengi katika relationships, sex stuffs na some stuff like that ( cheating + uasherati) ambayo mengine ni mabaya na mengine ni mazuri na pia mengine ni mabaya lakin kwa upande wa family Rituals inakua ni mazuri, okay let me go straight
Ulipokuwa unakula kitumbua ulikuwa unajiona mjanja alafu shida yako unataka tushare, pambana na hali yako lkn nakushauri kapime U.T.I na magonjwa mengine ya ngono.
 
Mtu anayetumia ARV Ana probability ndogo ya kuambukiza HIV sababu viral load inakua ndogo
Kwa hiyo tuwe tunauza mechi kwa wanaotumia ARV kwa sababu wana viral load ndogo na uwezekano wa kuambukizwa ni mdogo? Hata wakiwa wanamalizia bleed tuwapige kavu kavu kama huyu baharia alivyofanya? Hopulesi kabisa !!!
 
Kwa hiyo tuwe tunauza mechi kwa wanaotumia ARV kwa sababu wana viral load ndogo na uwezekano wa kuambukizwa ni mdogo? Hata wakiwa wanamalizia bleed tuwapige kavu kavu kama huyu baharia alivyofanya? Hopulesi kabisa !!!
Anaweza akawa anatumia ARV na viral load ikawa kubwa kama hafuati mashati inayotakiwa, sababu ARV pia Ina mashati yake ya kufuata. Ila kama viral load ni ndogo wale virus wa HIV wanakua hawawezi kufanya maambukizi kwa mfano Kuna sehemu kama kwenye manii na baadhi ya liquid wanakua hawapo, in short wanakua hawana makali, na ujue kwamba kupata Ukimwi si rahisi kama unavhofikiria lakini pia ni raisi. So akili kichwani mwako.
 
Unapata wapi ujasiri wa kurukia ngono zembe Day One? Alooh we jamaa hujipendi haya acha uzinzi na nenda katibiwe gono kama sio kisonono
 
Siku nyingine tumia Condom .Kinga ni muhimu kuliko kutibu.Mtu aangaliwi tu kwa macho kama ana ugonjwa au la.ingekuwa hivyo tusingekuwa tunaenda hospital
 
Back
Top Bottom