Urembo wa huyu dada umeniponza, naombeni ushauri

Ni vema kulala kwenye chandarua kujikinga na malaria.
 
Jamani nimechekaa,mweee
 
Uko sahihi huwez kumpima mtu kwa kumwangalia
 
Yaani hata hujitambui?
Unakutana na msichana kwa mara ya kwanza bila kupima wala nini halafu unafanya BILA CONDOM?
Huogopi Kuambulizwa UKIMWI au magonjwa mengine ya ngono, Je akipata Mimba ulijiandaa KUOA?
Yaani mtu anakukubalia kwa haraka tu, Hakufaham na wewe unajiingiza bila KINGA? naona kama umeshaichoka DUNIA!
 
Msameheni. Inaonekana ni mara yake ya kwanza kupata pisi kali. Tena iliyomkubalia kirahisi rahisi tu na iko tayari kumegwa hata haijamaliza period sawasawa. Something is not right kabisa yaani!
 
Muwasho na kukojoa kwa shida unatokana na maambukizi ya magonjwa ya zinaa(STI's) nenda kapime, pia baada ya wiki tatu tangu ukutane nae kapime HIV, HIV huanza kwa maumivu ya kichwa, vimbe kwenye groin na tonsils, jasho usiku, kukohoa, n.k,

NAKUOMBEA UWE SALAMA ILI UKAWE BALOZI WA MATUMIZI YA #CONDOM KWA KILA TENDO LA NDOA, USIHADAIKE NA UMBO LA MWANAMKE, TANGULIZA MASLAHI YAKO KWANZA, KIUFUPI UWE MTU MWENYE CHA KUPOTEZA(like ukipata HIV je utakamilisha ndoto zako za miaka 30 ijayo?)
 
Mara nyingi huwa naamin mtu anaefanya ngono zembe ni kwamba amejiandaa kwa lolote...na hayo magonjwa ya zinaa wala hayaogopi kiviiile...
 
Mtukane mkuu tusi litamfikia alipo😂
 
Kweli blaza mwanaume inatakiwa Ujikubali
Wengi wanaanza kupoteza nguvu za kiume wakiskia mtu ana uume mkubwa akijiangalia anaona labda ndomanawanawake hawadumu nae kumbe sio hivyo hakuna tafiti za kisayansi zinazotoa suluhisho la kumfikisha mwanamke kilelen
 
Mtu anayetumia ARV Ana probability ndogo ya kuambukiza HIV sababu viral load inakua ndogo
 
Hatujapima lakini huyu hana ugonjwa wowote anaonekana yuko fresh
We Jamaa fala Sana unampima mtu kwa macho.

Stori za kula kimasihara zisiwatoe kwenye reli .

Matangazo ya kondomu huyasikii Wala kuyaona huko mitaaani na mtandaoni.

Ukifanya ngono bila ndomu kwa demu wa kuokoteza lazima Cha Moto ukipate

Hao wenzetu wanaweza kaa na magonjwa miezi na miezi bila kujishtukia ila wewe ukiweka tu kavu wiki mbili nyingi lazima uone mabadiliko mwilini .

Naamini kuanzia Sasa utakuwa mteja mzuri wa ndomu
 
Wahi mapema ukaanze dozi Arv's
Yaani unauza mechi kiboya hivyo ,hujihurumii??
Oky usisahau kula matunda na mboga mboga yatakusaidia sana
Rip in advance.
Huyo RIP inaweza kuwa kwako

Anaweza kuku outlive wewe

Kesho asubuhi ukagongwa na gari ukafa hapo hapo .

Usipende kutumia hio kitu inaweza backfire kwako.

Jitafakari
 
Ilo tatizo kuna jamaa yangu alikua nalo nicheki 0624556426
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…