Urembo wa huyu dada umeniponza, naombeni ushauri

Kwenye R panawekwa L, penye L panawekwa R tafrani tu.

We mbwa, Lungu ndio kitu gani?
 
a) Nenda hospitali haraka sana mweleze Daktari ukweli wote wa kilichotokea, usifiche chochote
b) Baada ya miezi mitatu kutoka sasa fanya mpango upime VVU
c) Kuanzia leo USIFANYE NGONO KIZEMBE hakikisha unatumia kinga, unaweza kupata sio tu VVU bali hata magonjwa mengine ya zinaa

Kila la heri
 
Nenda hospitali we umeambukizwa mangonjwa ya zinaa
 
Halafu anasahau yule Bwana 19 anasubiri tu Ujibebeshe hili Gonjwa ili umrahisishie kazi..........kwa hiyo wakati unajiuliza kuhusu Goma ujue kabisa umejiactivate na Mr.19
 
Ulipokuwa unakula kitumbua ulikuwa unajiona mjanja alafu shida yako unataka tushare, pambana na hali yako lkn nakushauri kapime U.T.I na magonjwa mengine ya ngono.
 
Mtu anayetumia ARV Ana probability ndogo ya kuambukiza HIV sababu viral load inakua ndogo
Kwa hiyo tuwe tunauza mechi kwa wanaotumia ARV kwa sababu wana viral load ndogo na uwezekano wa kuambukizwa ni mdogo? Hata wakiwa wanamalizia bleed tuwapige kavu kavu kama huyu baharia alivyofanya? Hopulesi kabisa !!!
 
Kwa hiyo tuwe tunauza mechi kwa wanaotumia ARV kwa sababu wana viral load ndogo na uwezekano wa kuambukizwa ni mdogo? Hata wakiwa wanamalizia bleed tuwapige kavu kavu kama huyu baharia alivyofanya? Hopulesi kabisa !!!
Anaweza akawa anatumia ARV na viral load ikawa kubwa kama hafuati mashati inayotakiwa, sababu ARV pia Ina mashati yake ya kufuata. Ila kama viral load ni ndogo wale virus wa HIV wanakua hawawezi kufanya maambukizi kwa mfano Kuna sehemu kama kwenye manii na baadhi ya liquid wanakua hawapo, in short wanakua hawana makali, na ujue kwamba kupata Ukimwi si rahisi kama unavhofikiria lakini pia ni raisi. So akili kichwani mwako.
 
Unapata wapi ujasiri wa kurukia ngono zembe Day One? Alooh we jamaa hujipendi haya acha uzinzi na nenda katibiwe gono kama sio kisonono
 
Siku nyingine tumia Condom .Kinga ni muhimu kuliko kutibu.Mtu aangaliwi tu kwa macho kama ana ugonjwa au la.ingekuwa hivyo tusingekuwa tunaenda hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…