Urembo wa madirisha kwa nje na kona za nyumba

Urembo wa madirisha kwa nje na kona za nyumba

Umkonto

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Posts
3,337
Reaction score
5,876
Naomba kushare, hivi urembo wa madirisha na kona vipo kwenye fashion au ni vimepitwa na wakati? Na kama vipo, vipi huko mbeleni?

Binafsi navutiwa na huo urembo ila nakuwa nakuwa nasita kuweka!
 
Kwa hiyo sisi mafundi urembo wa nyumba tutafute kazi nyingine, siyo?
sio wote ambao hawataki, wengine wanataka.

nikama tu vile unamuacha mwanamke ukiona hafai, mwingine akimpata anaona amepata pisi matata.

Mwenyewe sipindi huo urembo, ila anayeweka bado simuoni fala.
mimi hata urembo maua ya gypsum board sitaki.

wanawake kuna muda nataka big nyash kuna muda nataka flat screen yaani sina msimsmo kwenye hili

No Reforms No Election
 
Naomba kushare, hivi urembo wa madirisha na kona vipo kwenye fashion au ni vimepitwa na wakati? Na kama vipo, vipi huko mbeleni?

Binafsi navutiwa na huo urembo ila nakuwa nakuwa nasita kuweka!
Umeshapitwa na wakati nina jamaa yangu ameita fundi aje kuondoa urembo anajuta maana inabidi kutoa gharama kama alizotumia kuweka.

Nyumba piga plaster vizuri skim vizuri paka rangi nzuri utaipenda habari za kuongeza madude dude zinafanya uichoke nyumba yako muda mfupi sana baada ya kuishi humo.
 
Upvc ndiyo nini? Picha ya dirisha la upvc?
Screenshot_20250622_095547.jpg
 
Fanya kitakachokupa furaha...unawauliza hapa wengine wapangaji wanajiropokea tu
Hao wanafikiria kwamba urmbo ni wa zamani ,hao wote wamezaliwa kwenye nyumba za chokaa🤣🤣Urembo ni idea mpya waache zao .

Urembo sio lazima ila ni idea mpya ,nyumba bila ya urembo sawa na shule au ofisi ya serikali za mtaa.
 
Kwanza wanaujua urembo wenyewe ata....nguzo zipigwe urembo fresh alaf tanga stone imalize au tiles fulan hv na taa pemben...unaweza kulala nje unaichek nyumba ikifika night
 
Kwanza wanaujua urembo wenyewe ata....nguzo zipigwe urembo fresh alaf tanga stone imalize au tiles fulan hv na taa pemben...unaweza kulala nje unaichek nyumba ikifika night
mkuuu hapa wanazungumzia urembo wa kuchora na macement kwenye madirisha achana na Tanga stone
 
mkuuu hapa wanazungumzia urembo wa kuchora na macement kwenye madirisha achana na Tanga stone
Si ndio unachora dirisha na nguzo...sasa zile nguzo ndio huwa zinapigwa na tiles flan hv au tanga stone na kuwekewa taa...zinapendeza kinoma
 
Back
Top Bottom