Urembo wa madirisha kwa nje na kona za nyumba

Urembo wa madirisha kwa nje na kona za nyumba

UCHAFUUUUUUUU UCHAFUUUUUU

Screenshot_20250622-151437_Instagram.jpg
 
Umeshapitwa na wakati nina jamaa yangu ameita fundi aje kuondoa urembo anajuta maana inabidi kutoa gharama kama alizotumia kuweka.

Nyumba piga plaster vizuri skim vizuri paka rangi nzuri utaipenda habari za kuongeza madude dude zinafanya uichoke nyumba yako muda mfupi sana baada ya kuishi humo.
Mimi hata rangi plain kwa nje siikubali kivile, napenda ukuta wa chuping rangi ichanganywe kabisa, unakua bomba sana kama ukuta huo.
 

Attachments

  • Iringaaprili23,2025-4.jpg
    Iringaaprili23,2025-4.jpg
    284.5 KB · Views: 31
sio wote ambao hawataki, wengine wanataka.

nikama tu vile unamuacha mwanamke ukiona hafai, mwingine akimpata anaona amepata pisi matata.

Mwenyewe sipindi huo urembo, ila anayeweka bado simuoni fala.
mimi hata urembo maua ya gypsum board sitaki.

wanawake kuna muda nataka big nyash kuna muda nataka flat screen yaani sina msimsmo kwenye hili

No Reforms No Election
Oktoba tunatiki SAMIA
 
Back
Top Bottom