Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

Kuna blog nimeona ina maelezo mazuri matunzo ya nywele. Picha za mafuta nimeshindwa weka humu(sijui kuweka) inaitwa laura pettie. Kuna topic nying hicyo ya nywele mpaka kuitafuta Super women 2
 
Habari. Naombeni mnijuze mafuta mazuri ya nywele. Yanayokuza. Ambayo pia hayakati nywele. Mimi nywele zangu ni laini. Ila zinakoleaga dawa.. Ukiniwwkea na picha. Ntashukuru
Tafuta mafuta yanaitwa ( T444z ) google kwenye simu yako afu utanipa majibu mwenyewe
 
Mi ningependa hii[emoji116]
 
Wakuu kutokana na majukumu ya kikazi(confidencial) nimelazimika nifuge afro ili niweze kufanikiwa project hio naomba mwongozo mafuta mazuri ya kupaka yanayoweza kukuza nywele vizuri na zionekane zenye afya yasiwe na madhara
karibuni sana wandugu
 
Habari. Naombeni mnijuze mafuta mazuri ya nywele. Yanayokuza. Ambayo pia hayakati nywele. Mimi nywele zangu ni laini. Ila zinakoleaga dawa.. Ukiniwwkea na picha. Ntashukuru

Samahani kama nitakukwaza, wanawake wengi niliokutana nao, wanasema shahawa za kiume ni mbolea ya nywele, yaani ina reproduce cells zilizokufa. Umejaribu hii method?
 
Samahani kama nitakukwaza, wanawake wengi niliokutana nao, wanasema shahawa za kiume ni mbolea ya nywele, yaani ina reproduce cells zilizokufa. Umejaribu hii method?
Sijawahi kusikia,ndo nasikia kwako. Enhe. Unafanyajefanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…