MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,036
- 737
Kwani hukuelewa?au ndo unaonyesha ulivyosoma sana!Ruff=rough
[emoji23][emoji23][emoji23]wabongo mna kazi kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hukuelewa?au ndo unaonyesha ulivyosoma sana!Ruff=rough
Tanx diaMoulding gel wax
View attachment 488703
Kubali kujifunzaKwani hukuelewa?au ndo unaonyesha ulivyosoma sana!
[emoji23][emoji23][emoji23]wabongo mna kazi kweli!
KaribuAsante dear
watanzania hatupendi kurekebishwa tubadilikeKubali kujifunza
Hujatoa BeiJaribu kutafuta Jamaican black castor oil..Ni mazuri Sana...
Upakaji wake Ni kwa kumassage ngozi ya kichwa(scalp)
Ndani ya mwezi utaona tofauti
Bei zinatofautiana Ila sio tofauti kubwa sana.inategemea duka na duka..Hujatoa Bei
Kwa kuagiza mtandaoni ni $53.21 sawa na TZS 118,500 kwa 'exchange rate' ya leo.Hujatoa Bei
Kwa jumla au? Yani unapata mengi;Kwa kuagiza mtandaoni ni $53.21 sawa na TZS 118,500 kwa 'exchange rate' ya leo.
Si kweli usimtishe.. Labda kama unanunua pipa zima..Kwa kuagiza mtandaoni ni $53.21 sawa na TZS 118,500 kwa 'exchange rate' ya leo.
Yanatengezwa kwa kutumis bangi... So angalia BASHITE asije akakukamata..Si kweli usimtishe.. Labda kama unanunua pipa zima..
View attachment 497198
Nimempa bei ya chupa 1 ya 236ml (8oz) ya 'Jamaica Black Castor Oil Hair and Eyelash growth' ikiwa na chupa moja ya 'coconut oil' ambavyo vyote ni US $50.05 na shipping US $3.16.Si kweli usimtishe.. Labda kama unanunua pipa zima..
View attachment 497198
Weka picha ya chupa tutafute....Nimempa bei ya chupa 1 ya 236ml (8oz) ya 'Jamaica Black Castor Oil Hair and Eyelash growth' ikiwa na chupa moja ya 'coconut oil' ambavyo vyote ni US $50.05 na shipping US $3.16.
Nimetumia na kuridhika kabisa, kwa kuwa mabadiliko yalonekana katika wiki moja tu.
Hizo ulizoonesha hapo juu sina uhakika nazo.
Check www.aliexpress.com kwa jina hilo nililoandikaWeka picha ya chupa tutafute....