Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

mafuta ya NYANGUMI asee yatafute ni bora sana kwa kipilipili cha juu na hata kile cha chini
 
mafuta ya NYANGUMI asee yatafute ni bora sana kwa kipilipili cha juu na hata kile cha chini
Aaiise mkuu unataka kuutua mafuta ya nyangumi yanapatikana wap ,,unataka watu wanze uvuvi wa nyangumi[emoji23] [emoji23] maana wanawake buanah[emoji2] [emoji2]
 
Ulivyosema nywele hizi nilitegemea nikiingia nikute kapicha.
 
IMG-20170516-WA0044.jpg
 
7397a5a100cc094f9fc3eb4ff2fbce27.jpg
mafuta haya ni best saana kwa nywele aina zote na yanakuza kwa haraka saana
 
mtahangaika hakuna dawa wala mafuta nimeishi dubai miaka mingi watu wamejaribu kila aina za mafuta hakuna mafanikio ila kwa sasa wanapandikiza nywele sehemu yenye kipara kwa operation ni dirham 10000 pakistan
 
Habar zenu wana jf, naomben ushaur ni Dawa gan nzur nitumie ya nywele ambayo haiunguzi yan cyo kali
 
Back
Top Bottom