Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

Jaribu kutafuta Jamaican black castor oil..Ni mazuri Sana...
Upakaji wake Ni kwa kumassage ngozi ya kichwa(scalp)
Ndani ya mwezi utaona tofauti
 
Hujatoa Bei
Bei zinatofautiana Ila sio tofauti kubwa sana.inategemea duka na duka..
Fika kariakoo utapata Bei zake...Kama Ni mtu wa kuzunguka utapata duka wanayauza Bei nafuu baada ya kuresearch Bei kwenye maduka kadhaa.
Approximately 15k-18k.
Pia yapo madogo na makubwa...
I recommend big ones.
 
Ulimbukeni2 mmeacha nywele zenu za asili mnahangaika na minywere ya katani wakati hata vipato vyenu haviruhusu kz kuuza chura na kwenda saloon, ushamba na kutojiamini.
 
Si kweli usimtishe.. Labda kama unanunua pipa zima..
View attachment 497198
Nimempa bei ya chupa 1 ya 236ml (8oz) ya 'Jamaica Black Castor Oil Hair and Eyelash growth' ikiwa na chupa moja ya 'coconut oil' ambavyo vyote ni US $50.05 na shipping US $3.16.

Nimetumia na kuridhika kabisa, kwa kuwa mabadiliko yalonekana katika wiki moja tu.

Hizo ulizoonesha hapo juu sina uhakika nazo.
 
Weka picha ya chupa tutafute....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…