Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

Zangu zilikua kama zako zilinisumbua sana nikanyoa then nikaanza upya na nikabadilisha mafuta natumia castor oil (natengeneza mwenyewe) nachanganya na mafuta ya nazi kidogo na mabadiliko nayaona tofauti na mwanzo
Hayo mafuta ya Castor oil yanatengenezwaje???
 
Hayo mafuta ya Castor oil yanatengenezwaje???
Uwe na zile mbegu zake zilizokauka vizuri, unazikaanga halafu unazitwanga zikishalainika vizuri unazichemsha ila maji unaweka kidogo tu na moto usiwe mwingi zitaungua
 
This is always my best hairstyle.....inaleta more natural look to all ladies who dare🙂🙂
Aseee hata me nmeipenda[emoji7] ,,inaitwaje hii style?
Na which kind of saloon unaeza kutengenezwa hivi? namaansha salun ya kike au kiume
 
Uwe na zile mbegu zake zilizokauka vizuri, unazikaanga halafu unazitwanga zikishalainika vizuri unazichemsha ila maji unaweka kidogo tu na moto usiwe mwingi zitaungua
Okay sawa asanteeee shida n kuzipata hizo mbegu za mnyonyo tena huku nilipo mmmh sijui kabisaaaaaa zilipo
 
Okay sawa asanteeee shida n kuzipata hizo mbegu za mnyonyo tena huku nilipo mmmh sijui kabisaaaaaa zilipo
njoo nkuuzie mimi ndo nnayo yatumia mwaka wa 5 huu ukiziona tu nywele zangu,utaelewa yako vizuri kiasi gani huwa natngeneza mwenyewe
 
chef.the_.barber-mohawk-for-curly-hair-frohawk-haircuts-for-black-men-2018-e1523978863893.jpg
 
Mwanamke mwenye sura ya kimakonde asuke mtindo gani ili apendeze?
Sura za kimakonde angalia Harmonize.
 
Back
Top Bottom