Zinduna na uzuri unachangiaWapendwa,
Nimeona nifungue uzi huu maalum kwa wadada wanaopenda mitindo ya nywele. Katika uzi huu nitakuwa nikiweka mitindo mbalimbali ya nywele kila nitakapopata nafasi, lakini pia kwa wale wenye kupenda mitindo ya nywele mnaweza kutupia picha mbalimbali za mitindo ya nywele ili kuweza kupeana uzoefu.
Karibuni sana wapendwa.
Naomba MODs waiweke thread hii sticky ili iwe ni mahali pa kupakulia mitindo ya nywele kwa wadada.
Wapendwa,

Hawapiti huku
Nywele zinasababishaje kuvunjika kwa ndoa?

kama una moyo zinyoe zianze kuota mpyanimefurahi mnoo kupita hapa.
Kwa leo ninaswali, jee naweza kurudisha nywele zikawa natural mana zinadawa?
Kwa yeyote anaefahamu anipe namna tafadhali.
Shukran
kama una moyo zinyoe zianze kuota mpya
Puuuuuuiyufffff !