Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Swaheebty Nina Staghafirr, sikusudi kitu !!Vipi tena swaheeb
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swaheebty Nina Staghafirr, sikusudi kitu !!Vipi tena swaheeb
Swaheebty Nina Staghafirr, sikusudi kitu !!
Ok hujambo lakini
Bukheyr wa Afya nzuri.... Vipi Hadharatik na Mwanao na Boss ??
Sote wazima alhamdulillah
Wapendwa,
Nimeona nifungue uzi huu maalum kwa wadada wanaopenda mitindo ya nywele. Katika uzi huu nitakuwa nikiweka mitindo mbalimbali ya nywele kila nitakapopata nafasi, lakini pia kwa wale wenye kupenda mitindo ya nywele mnaweza kutupia picha mbalimbali za mitindo ya nywele ili kuweza kupeana uzoefu.
Karibuni sana wapendwa.
Naomba MODs waiweke thread hii sticky ili iwe ni mahali pa kupakulia mitindo ya nywele kwa wadada.
![]()
Huyu si anakaribia kuolewa, anavaaje shela bila kuwa na nywele kichwani? Au hataweka kile kishela kidogo?
Nimefurahi mnoo kupita hapa.
Kwa Leo ninaswali, jee naweza kurudisha nywele zikawa natural mana zinadawa?
kwa yeyote anaefahamu anipe namna tafadhali.
Shukran
Kwa hiyo we Twin ukikaribia kuolewa utasuka?
![]()
Ametoka sana
Huoni ndogo ndogo hizo.hata huu ni mtindo wa nywele?
Mtu mweusi anapoutamani weupe na nywele za singa! halafu hao hao wenye nywele na rangi siku zote ndio wabaya.
Baniani mbaya kiatu chake dawa?
Inasikitisha.
Hakuna ubaya Twin...mimi mwenyewe (kama itatokea) ntaolewa hivihivi na kipara changu
Haaaaa kumbe mamaangu husuki pia....kama Mimi....