Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

kweli mummy, mkweo Mwanyasi hana bajet ya saluni ya kila wiki tunakutana mwisho wa mwezi kunyoa. kumbe mtoto wa nyoka ni nyoka...

Vizuri my douta mi mwenyewe baba yako hajawahi kuwa na bajeti hizo
 
Last edited by a moderator:
[

1166421_558839_397671500256942_1708718486_n_jpg1280de019c7e48c136ec5542b5c0dfce

Huyu ni perfect....kapendeza
 
Zinduna Ingekuwa tunaonyeshwa na kuombwa japo ka ushauri kabla hawajaenda saluni! Akishotoka huko inabidi ukubali tu kuwa kapendeza. Haha
 
This is always my best hairstyle.....inaleta more natural look to all ladies who dare🙂🙂

Its true kwa kweli na ni very expensive kuzitunza aisee mpaka ziwe hivii...!!my look of ol time..
 
Donut bun...huu mtindo wa nywele niupendao ukifuatiliwa na mabutu lolImageUploadedByJamiiForums1428620108.144363.jpg
 
Nywele ni mapokezi a.k.a reception ndo unaona kwanza unavutika ndio ushuke kdg kifuani alafu kiuno,bambataa lilivyokaa sio alimradi tu then uanamalizia kwenye ulegi.Sasa ukicheki hivyo vitu uka compare na home km ulilipua ndo chanzo cha ndoa kupata shida.
 
Aisee kuna mda inabidi kama mwanaume uchelewe chelewe kuoa duh kuna watoto wazuri humu.
 
Khee! Huu uzi leo ndio nauona... We charty hata kunistua lol
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom