Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa


Huyu si anakaribia kuolewa, anavaaje shela bila kuwa na nywele kichwani? Au hataweka kile kishela kidogo?
 
Da Zinduna nawezaje kutengeneza nywele zangu ziwe na mvuto mzuri pasipo kuweka dawa???

NOTE: Nywele zangu ni za asili ya Mwafrika, yaani ni kile kipilipili ambacho hakijachakachuliwa...

C.C. MillionHairs
 
Last edited by a moderator:
Nimefurahi mnoo kupita hapa.
Kwa Leo ninaswali, jee naweza kurudisha nywele zikawa natural mana zinadawa?
kwa yeyote anaefahamu anipe namna tafadhali.
Shukran

Acha kuweka dawa!
Suka tu km unaweza!
Zenye daw zote zitakatika zitaisha zitabaki natural
 
Mtu mweusi anapoutamani weupe na nywele za singa! halafu hao hao wenye nywele na rangi siku zote ndio wabaya.

Baniani mbaya kiatu chake dawa?

Inasikitisha.

Kweli nakubaliana wewe, bora wavae mabaibui wafunike sura zote waonekane macho tu.
 
Hahahaa my douta kweli?? Lakini sio ajabu mi si ndo role model wako bhana....

kweli mummy, mkweo Mwanyasi hana bajet ya saluni ya kila wiki tunakutana mwisho wa mwezi kunyoa. kumbe mtoto wa nyoka ni nyoka...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…