Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyu hajapendeza
watu oo tusiponunua za bandia hatupendezi,huyu nae si mtanzania ama watu ni wabaya tu ama hawajiamini na nywele zao angalia na hii pia ya flavian matata
nani anasema huyu hajapendeza na afro yake?
utawasikia wanawake wanalalamika yaani mimi nisuke twende kilioni,kwani lazima usuke twende kilioni,si nywele zenu na staili ni ubunifu wenu. huyu kapendeza mbona.
hata huyu nae hajapendeza?ama watu ndio wabaya?
huyu ni mwanaume gani atasema hajampendeza ama hamtaki? ama tatizo watu ni wabaya tu na hawajiamini?
good look.
eti na huyu hajapendeza kwa sababu hajanunua nywele za bandia?ama tatizo wanawake wanaosema hivyo ni wabaya ama hawajiamni?
hata leo nikiambia oa naenda kwa mzee kumwambia aandae ng'ombe pamoja na kwamba hana nywele za bandia
matata huyu hajapendeza?Aisee nilinyoaga upara I looked so young and naive. Kama mtoto wa shule. Sitaki tena. Sasa hivi I have an afro that I never comb. Lols.