Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Kwa hiyo una kipara ngoto?
songa ugali tuleeee.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo una kipara ngoto?
No hizi ninavyoamka ndo hivyo hivyo ninavyorudigi kulala.
Khaaaaa hatari aisee,si hata kunguni na mende wanaweza kuweka kichaka,
Inategemea na sura aisee. Wengine tuna sura kama za kufukuzia wezi unategemea nini?
Afu kuna watu hawana nywele.hadi huruma. Acha mawigi yatusitiri aisee khaa!
songa ugali tuleeee.....
Tule na nini? Matembele au nyanya chungu?
na vitwitwi
inategemea na uso na kichwa cha mtu pia wengine wana machogo unadhani wakinyoa watapendeza kama matata????????????
na ukumbuke wengine nywele zetu ni kipilipili mno tutazifuga kwa miaka mingapi mpaka zije kukua na kuvutia
itachukua miaka mingi mnoooo
hapana usijaribu kupotosha hakuna mwanamke anaetumia 50000 per week kwa ajiri ya kusukia labda wale matawi sana na hata hao sidhani
ghamara ya kusuka kimasai na mitindo mingine haizidi 40000 na hiyo inategemea na saloon
na ukisuka una weza ukaaa nazo wiki hata tatu
tunapozungumzia ubunifu hata kusuka rasta na yeboyebo ni ubunifu wa kiafrika pia
kuhusu hao wanaowashwa na nywele inawezekana ni uchafu wao binafsi nywele zilizosafishwa vizuri kabla ya kusuka huwa haziwashi ovyo
kuhusu urembo, mtu anafanya kile ambacho ana-feel anakipenda, kinampendeza, na yupo comfortable nacho. wkt mwingine watu wanapenda kubadili style, hawataki kuwa na muonekano huohuo siku zote
hakuna formula kwenye hilo, kila mtu na taste yake kwenye urembo. tafuta girl wa taste yako. kama hupendi wigi, tafuta anayenyoa kipara
Mbona hiyo elfu 40 au elfu 50 ni ndogo sana kwa mwanamke kutengenezwa nywele salon? Hivi unajua kuwa kuna misuko hadi ya Tshs 200,000 na watu wanalipa?
View attachment 135874huyu hajapendeza
View attachment 135875watu oo tusiponunua za bandia hatupendezi,huyu nae si mtanzania ama watu ni wabaya tu ama hawajiamini na nywele zao angalia na hii pia ya flavian matata
View attachment 135878
jamani kweli kwa nywele za asili hampendezi? ona na huyu
View attachment 135880nani anasema huyu hajapendeza na afro yake?
View attachment 135881utawasikia wanawake wanalalamika yaani mimi nisuke twende kilioni,kwani lazima usuke twende kilioni,si nywele zenu na staili ni ubunifu wenu. huyu kapendeza mbona.
View attachment 135882hata huyu nae hajapendeza?ama watu ndio wabaya?
View attachment 135884huyu ni mwanaume gani atasema hajampendeza ama hamtaki? ama tatizo watu ni wabaya tu na hawajiamini?
View attachment 135885good look.
View attachment 135886eti na huyu hajapendeza kwa sababu hajanunua nywele za bandia?ama tatizo wanawake wanaosema hivyo ni wabaya ama hawajiamni?
View attachment 135887hata leo nikiambia oa naenda kwa mzee kumwambia aandae ng'ombe pamoja na kwamba hana nywele za bandia
View attachment 135888matata huyu hajapendeza?
WANAWAKE EBU NIAMBIENI,NYINYI MNAOGA KILA SIKU ALAFU NYWELE ZINAACHWA WIKI NZIMA HAZIGUSI MAJI NA HATA WIKI MBILI KISA NI ZA BANDIA ZITAHARIBIKA, HAMUONI KAMA NI TATIZO NA NI UCHAFU NDO MAANA WENGI HAWAISHI KUSEMA NYWELE ZINANIWASHA,ZINAUMA, ZITAACHAJE KUWASHA WAKATI HAZIOGI WIKI NZIMA?NA HATA WAKATI MWINGINE ZINANUKA WEWE UNADUNDA TU ETI HAZIJAFUMUKA.
HEBU JARIBUNI NA KUBUNI STAILI ZA KIAFRIKA KWA NYWELE ZA KIAFRIKA.
eti mtu anatumia 50,000 kusuka kila wiki,wanaume mtatuua,si bora ufuge nywele zako kama hawa wadada na gharama ya kuzitunza inakuwa ndogo na zingine ile familia,kwa mwezi laki mbili inahitajika kwa ajili ya nywele,mbona balaa.
Ayaaaaa halafu umenikumbusha. Ahadi ni deni.
Vitwitwi vya kubanikwa vitakujia huko uliko ASAP.
Ni wanawake wa kiafrika hawajiamin kabisa,yan hawajiamin,wameweka jitihada zao kubwa kwenye nywele wakiamin zitawafanya waonekane warembo zaidi kumbe wengne wanajiharibu,unakuta mtu na liwig lake minywele cjui imekaaje anaonekana kama mzimu,kama nyumbu,zinakaa wik hazioshwi na jasho la hapa mjin daslam,vijana weng wanalaum wanawake wao nywele zinanuka.
Twende taratibu mkuu...kwanza urembo wa nywele haufanywi na mwanamke wa Kiafrica pekee bali urembo huu unafanywa na wanawake wa kizungu,kiarabu,kichina na wengine wengi.
Ukiona mwanamke amevaa wigi au kashonea weaving na anaonekana kama mzimu au nyumbu ujue hiyo weave au wig lake ni fake I mean ni synthetic au ni fiber hair...lakini kama ni human hair weave au wig ni lazima atoke chicha na kwa muonekano mzuri. Pia kumbuka original human hair weaves haiwashi hata kidogo...yanayowasha na kukera kichwani ni hayo mafiber na masynthetic hair.