Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

Thanks God saiv najikubali the way I am, kipilipili changu aisee nakipaka olive oil kinang'aajee???

Awali nilikichukia sana nikawa natafuta any means kukificha but mwisho wa siku nikaona ulimbukeni tu. Nywele unaihangaikia weeee haikui wala ninj khaaaaa!!!!!

Tupa kule wacha chogo ling'azwe na upara......

C.C walokuwa party!!!!!

Hahahaa haaaa uwiii
 
Hiyo style ya sasa ndo nzuri sana. Kumbuka kuwa nlishawah kukuambia kuwa huwa inakutoa poa sana. Hongera sana
 
Muambie huyo na ubahili wake. Hajui kuna lace wig la milioni tzs za kibono!
Mbona hiyo elfu 40 au elfu 50 ni ndogo sana kwa mwanamke kutengenezwa nywele salon? Hivi unajua kuwa kuna misuko hadi ya Tshs 200,000 na watu wanalipa?
 
nywere zinawapendeza ofcoz.but kinachonikera ni kwamba hizo unywele moja moja they are everywhere jikoni, sebureni, etc
 
sio walewale manenomengi hula vitendo we weka picha tujiridhishe kama hivyo hata mimi naweza nikasema nina rasta.
I have a bounty on my head mjini hapa. Niko WANTED for some crime, nisije kamatwa bureee.
 
hahahahahahahahahahah naomba muwe mnajitambulisha jinsia jamani si unaona tunavyowachanganya

Ha ha haaaa usijari mkuu yote ni maisha! Najua avator na uchambuzi wangu ndizo zimekupelekea wewe kuhisi kama mimi ni KE
 
oh kumbe sorry basi,naona una jua mambo ya nywele ndo mana nkajua wewe ni KE

Jamani! Kwahiyo kujua na kuchambua habari za urembo ni lazima uwe mwanamke? Hii inaitwa kamata fursa twenzetu...ha ha haaa
 
Nywele ni sehemu ya urembo kwa mwanamke hata vitabu vya dini vimesema
 
nywere zinawapendeza ofcoz.but kinachonikera ni kwamba hizo unywele moja moja they are everywhere jikoni, sebureni, etc
Inategemea amenunua weaving gani na amekwenda kushonewa salon gani...kama ni haya masynthetic hair ya Darling na Angel yaliyojazana kariakoo kama njugu ni lazima yachomoke hovyo hovyo na muwasho juu.
 
Leo ngoja niseme lililo moyoni mimi mama Ngina akiwa na nywele zake asilia awe amesuka au kachana nikimgusa tu kichwani naanza kuhangaika na kuona usiku unachelewa kufika lakini akivaa manywele ya bandia huwa natamani tugawane vitanda, atakae niona mie mshamba basi na aseme ukweli utabaki palepale nywele asilia zinavutia na kuleta hamasa !!!!
 
Back
Top Bottom