MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
Leo ngoja niseme lililo moyoni mimi mama Ngina akiwa na nywele zake asilia awe amesuka au kachana nikimgusa tu kichwani naanza kuhangaika na kuona usiku unachelewa kufika lakini akivaa manywele ya bandia huwa natamani tugawane vitanda, atakae niona mie mshamba basi na aseme ukweli utabaki palepale nywele asilia zinavutia na kuleta hamasa !!!!
Ni kweli nywele asilia pia ni mzuri iwapo muhusika atajua kuzihudumia vizuri...wala siyo ushamba kwani wewe ni mume na unapenda make wako aonekani vipi. Lakini hebu angalia hizi picha 2,ni nani kapendeza zaidi?
