Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

urembo mzuri ni ule usiokuhamisha sana kwenye uhalisia wako, unatakuwa ukufanye uonekane natural beauty. my dad once told me, ukijiremba unatakiwa ujirembe kiasi ambacho mwanaume akikuoana aseme huyu dada ni mzuri, ana ngozi nzuri, na sio agundue upo fake

I can imagine your dad telling you so........that was when!!!!!!!!!!!!!!!

kwa kweli kuna watu wanazidisha Make Up sana hadi uhalisia wake unapotea kabisaa
 
No no nooh asikuongopee mtu! Brazilian,Indian Hair na Remy Hair hizo ndiyo nywele bora duniani sema tu inategemeana wewe unapendelea style gani na mfuko wako ukoje. Hebu mwangalie huyu dada alivyopendeza na kitu cha Remy Hair

nakubaliii ni nzuri sana bt linapokuja swala la nywele ipi nafanana nayo vizuri,sio brazillian,labda wahindi au waafrika wenye nywele laini,au mtu ukitoka tu ku'retouch ndo zinafanana walau,
af pia zingine too long hadi hazipendezi tena,mtu nywele inakaribia t.ako,wapi na wapi
 
No no nooh asikuongopee mtu! Brazilian,Indian Hair na Remy Hair hizo ndiyo nywele bora duniani sema tu inategemeana wewe unapendelea style gani na mfuko wako ukoje. Hebu mwangalie huyu dada alivyopendeza na kitu cha Remy Hair

Kitu cha Remmy hiko si Masikhara..........

Brazilian Hair nzo ziko poa sana tu
 
Kweli ukijiremba kiasi inapendeza,too much is always harmful
 
Mi napenda asuke zile rasta flani,ili wakati wa......niwe nazivuta ha ha haaaa!
 
Dreadlocks ndio mpango, nitahonga nyumba aisee...

Dreadlocks-Hairstyles-for-Black-Women.jpg
 
I can imagine your dad telling you so........that was when!!!!!!!!!!!!!!!

kwa kweli kuna watu wanazidisha Make Up sana hadi uhalisia wake unapotea kabisaa

when I tried to apply creams usoni kwangu. nilipokuwa Alevel kulikuwa na ka-tube flani ambacho wadada wenzangu wengi walikuwa wanatumia ple hostel. dingi aliona mabadiliko, kwa upole akaniambia mwanangu una ngozi nzuri, usiiharibu (ukizingatia nilikuwa natumia sabuni ya kufulia kwa kuogea smtms napaka baby care)
nafikiri tokea nipate yale maneno ya baba wkt ule, sijawahi tena kutumia vipako vya kung'arisha ngozi
 
MillionHairs,nawezaje kuzuia nywele kukatika(any tips maybe) cz napenda kusuka weave katikati au kuacha nywele za mbele,i wish ningekuwa naweza suka weaving tuu all along bila kukata my own hair
 
Last edited by a moderator:

jamani what a sweet dady....hadi raha..,
Bora alikuwarn mapema maana ungeweza haribu ngozi yako bure
 
Napenda dred saana bt nywele zangu laini nahisi zitakayika zote
 
Siyo nywele tu my dear...hata mambo ya beauty clinic pia. Mimi maisha yangu yameshikiliwa na urembo
 
Urembo ukizidi sana unakuwa ni uchafu na chukizo machoni mwa watu wengine
 
Hicho kitu cha Remmy hair original unapewa grantee ya mwezi mmoja ikiwa kichwani kwako...kama itakuwasha na kuchomoka chomoka unairudisha ulipoinunulia na unarudishiwa pesa yako yote
 
Kuna issue mbili hapo...si ela peke yake...nani ana muda wa kuweka ma.ta.ko. chini kwa masaa kadhaa kila wiki?

Kusuka kunahitaji moyooo...wengine hatuna hiyo subra.

Mimi siwezi kabisa kukaa masaa kuanzia 5 nasuka...hizo staili zipite tuuu.

Mbona hiyo elfu 40 au elfu 50 ni ndogo sana kwa mwanamke kutengenezwa nywele salon? Hivi unajua kuwa kuna misuko hadi ya Tshs 200,000 na watu wanalipa?
 
Nilikuwa mpenzi wa weave zamani...siku hizi nahofia HIV maana nimeanza kuwa na mawazo mabaya na sindano wanazotumia...afu unakuta kama salon ni nzuri basi mmepanga foleni....

Ukianza kuwahoji kuhusu safety wanakuona nuksi...
 
mkewangu huwa namnyoa mwenyewe, kwani huwa anapendeza na husaidia kupunguza gharama na muda kwaajili ya shughuri nyingine. nampenda sana mkewangu haendeshwi na matukio na misukumo. i lov u swt bby.
 
MillionHairs,nawezaje kuzuia nywele kukatika(any tips maybe) cz napenda kusuka weave katikati au kuacha nywele za mbele,i wish ningekuwa naweza suka weaving tuu all along bila kukata my own hair

Pole sana mpenzi! Hilo tatizo siyo la peke yako tu bali ni la wadada au wamama waliyo wengi.
Mtu yoyote anayependa kusuka mara kwa mara kwa kutumia rasta(KANEKARONI material) au anayependa kushonea weaves ni rahisi sana kupata hilo tatizo la kukatika katika nywele. Sasa hili kuzuia hilo tatizo unapaswa kutumia Hair treatment hizo hapo chini kabla ya kusuka au kushonea weaving. I mean nenda H.S AMON,MARY ROSE au Million Hairs Salon nunua hizo product nilizoonyesha hapo chini...hakikisha kila unapokwenda salon yoyote kufata huduma ya kusuka au kushonea mwambie muhudumu akufanyie treatment kwanza kwa kutumia mchanganyo wa hizo product zako ndipo akushonee weaving au kukusuka rasta. Ninakuhakikishia nywele zako hazitakatika tena na zitaendelea kuwa msitu hata kama utasuka au kushonea mara kwa mara ila make sure ma hair dresser wako ni wataalam hasa.
image.jpg
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    540.2 KB · Views: 130
Back
Top Bottom